Russia mmeyataka wenyewe issue hizi waachieni USA nyie mtaletea wananchi wenu shida bure. Ndo kwanza wanaanza hivi wanawatieni hasira ili mupeleke wanajeshi mkaonyeshwe vita vya jihadi
kura zimeibiwaje lakini coz najua mawakala wote wanakuwa na copy sasa wanaweza kuiba kweli na wakati wanajua copy nyingine zipo mikononi na wanaweza kuhakiki na kujua kura zimeibiwa au ni ubabe
Hajadai mtu na kaenda kwenye biashara zake na tunamkaribisha sana ukawa huyu waukweli kakubali na kuomba msamaha na kakubali jamaa kapita kwa kishindo lazima aweke ngumu coz ametumia hela mingi na wachaga ndo hivyo kukataaa hela ni dhambi huwezi yabadili mawazo yao kwa pesa mtu wa pili huyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.