Search results

  1. Fisadidagaa

    Nashauri Bunge lipunguziwe bajeti

    Habari wakuu, kutokana na kile kilichoitwa kubana matumizi kwa Bunge la jamuhuri ya Muungano kiasi cha zaidi ya bilioni 6,na fedha hizo kukabidhiwa muheshimiwa Rais kupitia kwa naibu spika wa Bunge,na hivyo kupangiwa kazi nyingine {wamesema madawati},ninalo wazo. Inaonekana bajeti waliyopata na...
  2. Fisadidagaa

    Tuongee asubuhi Star Tv 23.01.2016 jicho letu ndani ya habari

    Huwa si mshabiki wa kuangalia vipindi vya star TV,leo katika pitapita za kusaka kipindi nikajikuta nasimama star TV,hasa mjadala unaoendelea kuhusu kufungiwa vyombo vya habari {Magazeti}. Naona leo Star Tv wameingia choo cha kike kuwaalika hawa wachangiaji {Mhadili Mlajili Kapoko na Edwin...
  3. Fisadidagaa

    Sijamuelewa magufuli

    Katika nkutano unaoendelea katika viwanja vya samora Iringa,amesema kuwa alama inayotumiwa na Chama cha demokrasia(Chadema) ya vidole viwili (V),maana yake ukionesha kwenda juu ni WATU,na ukielekeza chini maana yake MAGUFUli. Sasa nikwamba anawaokota maboya au upeo wake mdogo!?Tafakari.
  4. Fisadidagaa

    Ajali mbaya ukonga

    Kuna ajali imetokea asubuhi hii,maeneo ya mlima wa magereza,daladala aina ya DcM Inayofanya safari zake Gongo la mboto/Msasani limeacha njia na kupinduka,dereva wa gari hilo na abiria zaidi ya 8 wamefariki papo hapo,na majeruhi ni wengi.
  5. Fisadidagaa

    Mwigulu, CCM hili mnalijua kweli?

    Ndugu wana jamvi, Kwa muda sasa nimekuwa nikifuatilia siasa zetu,na matukio yanayojitokeza kila siku nchini,hasa kwa vyama hivi viwili, TAWALA(ccm) na UPINZANI(Chadema), Sasa hivi kuna matukio yanafanyika mpaka unajiuliza kuwa kuna SERIKALI Kweli katika nchi hii,na kama ipo mbona kimya? Watu...
Back
Top Bottom