Search results

  1. BM-40 OPERATOR

    Hivi wanawake wanatongoza?

    Upewe laki 5 kwani hiyo mbunye ina tv ndani? miss chagga
  2. BM-40 OPERATOR

    Waziri wa Kazi, vipi kuhusu ukaguzi wa vyeti vya elimu katika kampuni binafsi?

    Siku si nyingi this day will come Infantry Soldier
  3. BM-40 OPERATOR

    Polisi wanamhanya kibaka Scorpion anayechoma watu visu na kuwatoboa macho?

    hata mimi nasema "Ni exaggeration tu, ntakuwa wa mwisho kuamini maneno hayo"
  4. BM-40 OPERATOR

    Msaada: jamani kwani hakunaga maswali mengine mapya ya "interview"?

    teh teh teh teh, nimekusoma CHIKIRA MTABARI
  5. BM-40 OPERATOR

    Msaada: jamani kwani hakunaga maswali mengine mapya ya "interview"?

    mkuu CHIKIRA MTABARI account yangu ndio hii "BM-40 OPERATOR"
  6. BM-40 OPERATOR

    Msaada: jamani kwani hakunaga maswali mengine mapya ya "interview"?

    Katika interview nyingi nilizoenda kwenye michakato ya kutafuta ajira enzi hizo nimekutana na maswali haya 6 katika kila interview moja;- **Can you tell me a little about yourself? **Why do you want this job? **Why should we hire you? **What do you consider to be your weaknesses? **What is your...
  7. BM-40 OPERATOR

    Hii ndio Familia ya Agustino Mahiga

    uswahili uswahili means "kuona watu waliostaarabika kama wanaringa"
  8. BM-40 OPERATOR

    Shushushu (Afisa Usalama wa Taifa) ni mtu wa aina gani, anafanya nini?

    hapo ulipo tayari wewe ni jasusi sema tu haupo kwenye official payroll
  9. BM-40 OPERATOR

    Shushushu (Afisa Usalama wa Taifa) ni mtu wa aina gani, anafanya nini?

    Boss, kama uliweza kuwatambua kwa vigezo ulivyoainisha hapo juu, hao mashushushu wanakuwa na tofauti gani na hao wanaojitangaza kwenye mikusanyiko ya watu aidhaa bar ama pahala popote. Kumbuka ya kuwa kitu kigumu katika kazi ya ujasusi is to keep your deep cover unblown whatsoever either kwa...
  10. BM-40 OPERATOR

    Yamenishinda: Shemeji wa kiume ananitesa

    kweli kabisa kabisa kaka. ila siwezi kumtosa best yangu huyu lazima nitakaa naye kidogo na kujaribu kumpa mwanga wa haya mema yaliyoshauriwa humu...........
  11. BM-40 OPERATOR

    Yamenishinda: Shemeji wa kiume ananitesa

    yeye ni mwenyeji wa morogoro mkuu
  12. BM-40 OPERATOR

    Yamenishinda: Shemeji wa kiume ananitesa

    kwa hiyo ndio umeamua kummaliza kabisa........
  13. BM-40 OPERATOR

    Yamenishinda: Shemeji wa kiume ananitesa

    pole sana mkuu kama na wewe haya yote yalikukuta kaka mkubwa.......
  14. BM-40 OPERATOR

    Yamenishinda: Shemeji wa kiume ananitesa

    huyu rafiki yangu ni mpogoro mtu mwa moro town...
  15. BM-40 OPERATOR

    Yamenishinda: Shemeji wa kiume ananitesa

    mimi ni mwanaume..........usichanganyikiwe na hiyo picha mkuu........na nipo single bado nina fight na hili life kaka
  16. BM-40 OPERATOR

    Yamenishinda: Shemeji wa kiume ananitesa

    huyu shemeji wa jamaa ni mtu wa mndali haya makabila madogo madogo ya huku mbeya....
  17. BM-40 OPERATOR

    Yamenishinda: Shemeji wa kiume ananitesa

    Jamani ndugu zangu wa JF, Huyu jirani yangu ni kaka ana mkubwa tu na ana miaka 26 sasa na ni mhitimu wa diploma ya procurement mwaka juzi 2014 katika chuo cha Uhasibu Mbeya (TIA) na kwa sasa anakaa kwa dada yake mkubwa wa kwanza huku maeneo ya Soweto Mbeya. Sasa shemeji yake (mume wa dada...
  18. BM-40 OPERATOR

    Jacqueline Silemu wa ITV...

    Empty-minded
  19. BM-40 OPERATOR

    Bernard Membe enzi za ujana wake

    The highlighted texts tell how an outright liar you might be. Vetting should have been made easier if that was the case. Hayo macho ya mkuu yapo hivyo as ndio alikuwa ametoka JKT so bado ana mindset ya ukakamavu wa kijeshi ndani yake.
Back
Top Bottom