Search results

  1. K

    Hatimaye JK AMETIMIZA AHADI ALIYOAHIDI

    Hiyo imekaa vizuri, big up!!.
  2. K

    CIA Director David Petraeus Resigns due to Extramarital Affair

    Hii tukii2mia wabongo, moboss wengi watajiuzuru maana wapo wanaoalikwa kwenye shughuli nyeti, wanaenda na nyumba ndogo!na hatakama anakosa atasingizia siasa eti wabaya wake wanamchafua! Hatoki atatafuta kila sababu alafu ndo anabebwa. Hii nchi we acha tu.
  3. K

    Mwenyekiti Mpya Sadifa ni JWTZ ,aliwahi fanya Mazoefi Ngerengere!!!!

    Jitahidi kuwa wavumilivu na wastaarabu
  4. K

    Biashara ya umachinga sasa yahamia kwa wachina Dar.

    Inabidi watanzania tuwemakini na hawa wachina, bidhaa nyingi wanatuuzia feki! Bado na ajira zetu ndogondogo wanatunyang'anya! Aibu.
Back
Top Bottom