Alipata daraja gani katika degree yake, etc. Kwetu sisi sifa pekee tunayoing'ang'ania ni: amekuwa kada miaka mingapi, ana ujanjaujanja kiasi gani.
Madaraja kwenye degree hayaonyeshi uwezo wa mtu. Kuna watu wana madaraja ya kutisha lakini bado mbumbumbu. Hiyo siyo point.
Matokeo yake...
Poleni sana wana JF. Mimi nadhani bado tunahitaji kufanya utafiti wa kina kuhusu mgombea wa uraisi ajaye. Kwa sababu hao wote mliowataja hakuna anayefaa katika TZ ya sasa iliyojaa ufisadi uliokithiri.
Asilimia 90 ya watanzania ni mafisadi kwa level zao. Kuna wale wanaokula hadi wanajipaka kama...
Huyo mtu mnayemsifia kwa ma honorary Doctorates sio msafi kama mnavyodhani. Ulizeni TTCL aliwafanya nini?
Zimbabwe wamemchagua Morgan Tsvangirai hata darasa halijui. Afrika ya kusini wanampenda Jacob Zuma. Hajui hata darasa lilivyo. Mnadhani hawana akili? Tunataka kiongozi mwenye uchungu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.