Search results

  1. imhotep

    Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

    Watu wake wanasema akimalize Kikundi cha Magaidi wa Hamas na sasa Ayatolah nae kajitokeza hadharani Wananchi watamuunga mkono.
  2. imhotep

    Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

    Kikinuka msije kulialia nakumbuka mlivyokuwa mnasema Scud za Saddam ni kiboko baadae akaja kubambwa kwenye Shimo na kunyongwa siku ya Iddi. Ayatolah nae atanyolewa Ndevu kabla ya kunyongwa ili akienda kwa Mabikira zake aende amependeza.
  3. imhotep

    Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

    Breaking News:Ayatolah kapelekwa kwenye Handaki kufichwa.
  4. imhotep

    Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

    Nimeziona zinapiga kelele juu ya Mitende.
  5. imhotep

    Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

    Guta hazijafika tu?! mimi naenda kulala.
  6. imhotep

    Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

    Iraq nae kafunga Anga lake hakuna Guta nyingine za Ayatolah zitakazopita😂
  7. imhotep

    Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

    Ayatolah anaondoka kama alivyoondoka Saddam.
  8. imhotep

    Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

    Jordanian Air Force wamesema wanazitungua haivuki hata moja.
  9. imhotep

    Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

    Iran hata wakifunga F35 za US na IDF zote ni Steath zitaingia hadi chumbani kwa Ayatolah bila ya yeye kustuka.
  10. imhotep

    Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

    Zilikuwa zinapita Suleymania Iraq juu ya Mitende.
  11. imhotep

    Iran wameiambia Marekani wakiingilia vita vyao na Israel, tutafunga Ghuba ya Uajemi kama Bahari Nyekundu

    Hakuna GPS zinaenda kuangukia Gaza kwenye Nyumba ya Yahya Sinwar.
  12. imhotep

    Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

    Mimi niko mubashara hapa Netanyahu anaandaa F35 Stealth zinaenda Natanz kuharibu Silaha za Atomiki za Ayatolah
  13. imhotep

    Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

    Kutokana na kuzimwa kwa GPS Drones za Ayatolah zinaangukia Gaza na kuzidi kumaliza Magaidi wa Hamas.
  14. imhotep

    Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

    Ingia Aljazeera LIVE Mzee!
  15. imhotep

    Iran wameiambia Marekani wakiingilia vita vyao na Israel, tutafunga Ghuba ya Uajemi kama Bahari Nyekundu

    Jordan imesema itazishusha Bajaji zote za Ayatolah zitakazokatiza kwenye Anga la Jordan 😆
  16. imhotep

    Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

    Jordan ni Sunni Ayatolah ni Shia patamu hapo 😆 Scooter za Ayatolah hazipiti haha.
  17. imhotep

    Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

    Kingdom of Jordan imesema inazitungua Bajaji zote za Ayatolah.
  18. imhotep

    Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

    Niko hapa naangalia LIVE IDF inazisubiri hizo Bajaji za Ayatolah izitungulie mbali halafu Biden anasubiriwa amshukie Ayatolah kama Mwewe.
  19. imhotep

    Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

    Tuko Bize kuwatisha Raia zetu kwa kuvunja Matofali na kuwaambia wasivae Gwanda.
Back
Top Bottom