Search results

  1. H

    Kwanini Wachaga hawachimbi Kaburi kabla ya siku ya maziko na hawafikishi maiti usiku Moshi?

    Siyo kweli kuwa hawaziki ijumaa. Acha kutunga vitu ukiza vizuri mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  2. H

    Kwanini Wachaga hawachimbi Kaburi kabla ya siku ya maziko na hawafikishi maiti usiku Moshi?

    Acha hizo mkuu wachaga wanatumia furusa iliko. Huyo mkinga atatoka wapi huko uchagani na kuapata nafasi ya kujenga bar. Wenyewe wanaona hakuna nafasi ndio maana wakatoka nje ya uchagani sasa wewe unaona kuna ubaguzi hapo? Tumia akili kidogo kufikiri mkuu. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. H

    Kwanini Wachaga hawachimbi Kaburi kabla ya siku ya maziko na hawafikishi maiti usiku Moshi?

    Mkuu usilolijua litakusumbua mno. Mind your bisness. Kwani wakifanya hivyo wewe unateseka? Kila mtu humu duniani amezaliwa kakuta mila na siyo kitu cha kupuuza. Wewe unateseka nini? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. H

    Mfahamu mdudu kunguni (bedbugs) na jinsi ya kumuangamiza

    Mkuu kanunue ddt ndio kiboko yao hutakaa uwaone tena maishani mwako. Cha kufanya ni hiyo dawa na vipimo vyake unaua hadi mayai kwishney hutawasikia tena hapo unapokaa. Kama wamezidi sana hiyo dawa paka kwenye hizo conner za vitanda na kabati kavu usidilute na maji paka hivyo hivyo habari yao...
  5. H

    TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

    Mkuu hoja ni at what time did he tweet. Kwa nini awe wa kwanza wakati familia ndio wahusika wakubwa na mzigo ni wao? Yeye ni rais wa wote haijalishi nani ktk nchi hii. Kwa hiyo anavyoanza kuonesha uhusika wake mkuu kwenye issue za watu private tutanaza kudai awe anadesema pia kwenye misaba...
  6. H

    TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

    Hata kama alikuwa very close sidhani kama taarufa ya kifo hicho alistahili kuitoa yeye kama yeye . Ameingilia utaratibu wa familia. Hakuwa under him. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. H

    NSSF iombe kujenga na kuendesha BRT phase 3

    Huu mfuko wa nssf nadhani ni mali ya wachangiaji ambao ni wafanyakazi na wastaafu watarajiwa. Inashangaza hao walengwa walichangia wanaga sauti na mfuko huu. Swali la kujiuliza hii miradi iliyojengwa kila mahali kuna hata mlegwa akiulizwa atoe maoni yake au ridhaa yake . Wanapofanya hivyo hao...
  8. H

    Jinsi Jerry Muro alivyoripotiwa Kenya baada ya kukamata Malori ya Magendo

    Sasa police watafanya kazi gani kama naye ananyakuanyakua huko barabarani?
  9. H

    Mchakato wa kuipandisha hadhi manispaa ya Moshi kuwa jiji wanoga

    Mkuu usijali mambo ni polepole tu. Mdo mdo tunafika . Hata roma haikujengwa siku moja .
  10. H

    Watanzania tumepigwa changa la macho mchana kweupe suala la 'mzigo kung'ang'ania kichwani'

    Ila kiukwelii police wetu siku hizi wanapenda kiki balaa. Hii ni issue ya kuita press kweli? Walisahau kutuonesha ile zipu ya yule mama mwenye mzigo ...
  11. H

    Watanzania tumepigwa changa la macho mchana kweupe suala la 'mzigo kung'ang'ania kichwani'

    Your thinking so smart but my friend hiyo issue hapo sio rahisi kama unavyofikiria mbona wasingechukua muda kuimaliza? Haiwezekani mkuu. Piga ua. Kuna mwingine kasema mbona mkono kashikilia asiachie kwanza anaumia bala halafu kitu ya zaidi ya kiko 50 inawezaje kukaa hapo shingoni isimame...
  12. H

    Joyce Kiria Ageukia CCM

    Mwenzake yule kaahidiwa nyumba haitovunjwa sasa yeye kahidiwa nini au kurudiana na mzee [emoji1] [emoji1]
  13. H

    Mji wa Moshi kuwa jiji ni suala ambalo halihitaji mjadala, nini kinakwamisha?

    Hakuna mkuu shida iliyopo ni politics unajua moshi ina wapinzani wengi ndio maana maendeleo waendelee kuyasikia tu majiji huko kwingine . Wananyimwa tu fursa cz wanasupport wapinzani .
  14. H

    Mji wa Moshi kuwa jiji ni suala ambalo halihitaji mjadala, nini kinakwamisha?

    Mkuu umeanza vizuri lkn ukaharibu kabisa. Niliwakusikia fidia kwa wanachi walipembezono ya mji wa moshi kwa maana vijiji kama vitatu vingrmezwa na jiji kupanuka ili kukidhi vigezo vya eneo. Nadhani huo mpango upo unasubiri fedha. Kuhusu watu hicho kigezo kimefikiwa ndio maana mpango wa kuandaa...
  15. H

    Ina maana gani kuning'iza|kutundika viatu juu ya nyaya za umeme mitaani?

    Hahahahaha mkuu usifanye hivyo utakosa biashara bana. Hiyo kitaalamu inaitwa display .
  16. H

    Ina maana gani kuning'iza|kutundika viatu juu ya nyaya za umeme mitaani?

    Nami niliambiwa hivyo hivyo. Kama kuna tofaut wajuzi mtuanbie hapa. Teja bana!!
  17. H

    Maandamano ya Aprili 26, 2018: Yanayojiri kutoka maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi

    Mkuu mie nilikuwa nafuatilia sana hii mambo nikagundua kumbe kulikuwa na attention kubwa sana na gharama za kuyazuia. Sasa kimsingi hayo mambo yasingekuwepo ndio maana nikasema yamefanikiwa upande mmoja otherwise serikali isengehangaika. Anyway kuhusu barabarani hakuna uzoefu sana hii mambo ni...
  18. H

    Mji wa Moshi kuwa jiji ni suala ambalo halihitaji mjadala, nini kinakwamisha?

    Mkuu leo dom wametangazwa wawe jiji kwa mamlaka ya mwenye nji.
  19. H

    Mji wa Moshi kuwa jiji ni suala ambalo halihitaji mjadala, nini kinakwamisha?

    Hiyo mkuu siyo hoja ya kutikuwa jiji. Hata tanga ni padogo kieneo hivyo hivyo. Kilichowapa ujiji ni nini??
Back
Top Bottom