Search results

  1. C

    Namtafuta Stephen Victor Mbwambo

    Habari za humu jamvini wakuu. I hope mko poa. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu namtafuta Stephen Mbwambo, nimepotezana nae miaka ya 80 mwishoni. Aliwahi kuwa mwajiriwa wa Shirika la Posta na aliwahi kufanya kazi huko Turiani Morogoro na pia Morogoro mjini. Sifahamu kilichoendelea...
  2. C

    Kwa wanaopendekeza serikali 3...

    Ni maswali mengi sana kuhusu mchakato huu wa katiba unaoendelea ambayo yananichanganya lakini leo naomba kuanza na wanaopendekeza serikali tatu wanisaidie kujibu baadhi ya maswali plz: 1: sawa, kutakuwa na serikali ya Tanganyika,Zanzibar na Shirikisho..Je viongozi wake wakuu wote wataitwa...
  3. C

    Naoa hivi karibuni.msaada plz,ni wapi naweza pata huduma hizi?

    Habari zenu wana jukwaa. Napenda kuwataarifu kuwa natarajia kufunga ndoa hivi karibuni. Natumia hii thread maalum kabisa kwa kuomba msaada wenu. Tafadhali kama kuna member yeyote anaweza nijulisha haya nitashukuru sana. - Ni wapi hapa Dar naweza pata gari za kukodi kwa ajili ya maharusi? - Ni...
  4. C

    msaada tafadhali

    heshima kwenu wakuu, kuna jamaa yangu anaishi maeneo ya Tabora ana dumu zaidi ya 20 za lita ishirini kila moja za asali na anatafuta soko.anataka azitume nimuuzie but kwa hapa Dar es salaam me sijui soko la asali mbichi liko wapi.miaka ya nyuma aliwahi kutuma kama...
  5. C

    Sakata la gesi ya Mtwara: Hatuchezi ngoma za mafisadi?

    Kuna maswali mengi sana yananisumbua kutokana na sakata zima la gesi kwamba isafirishwe au isisafirishwe kuja Dar.Kuna wengine wanavyosema kwenye thread mbalimbali unaona kabisa kwamba hawajui kile wanachokitetea. Kuna mmoja anasema haiwezekana mtudanganye kwamba mtajenga viwanda huku Mtwara...
Back
Top Bottom