Search results

  1. SN.BARRY

    KASULU: CCM yawaahidi wanakigoma na Watanzania 2025 kuwarejeshea tena kipenzi chao Samia Kwani ndani ya mwaka mmoja tu amefanya mengi mazuri,

    Nyie sio Mungu? Mmeanza sasa kukufutu kama kipindi kile cha Magufuli. Akifa kabla ya 2025 mtatuletea Mwigulu au Mpango?
  2. SN.BARRY

    Ijue nguvu ya ajabu inayotamaniwa na wachawi na waganga wa kienyeji

    WE NAWE PITA HIVI. UNAJIFANYA MUNGU HAYUPO WAKATI HATA HIYO PUMZI HULIPII HATA MIA.
  3. SN.BARRY

    Kwa hili shambulizi Ukraine kuingia gizani mazima

    Anaua RAIA was bure
  4. SN.BARRY

    Mliokopa salio la kawaida kwenye Airtel mmekutana na hiki kitu kwenye kulipa?

    Alichosema mleta mada; 1.Alikopa salio/muda was maongezi 2.Ameweka hela Airtel Money na kiasi kilichobaki kwe airtel money ya wamembadilisha kuwa salio LA kawaida wakati yeye may be kuna sehemu alitaka kutuma hiyo hela
  5. SN.BARRY

    Rais Samia hata Mkoa wa Arusha uko Pembezoni ni lini utaleta Hospitali kubwa ya Rufaa ya Kanda?

    Muulize Gambo au Lema, kuna siku zilipigwa hapo wakigombea Hospitali
  6. SN.BARRY

    Shaka: Rais Samia hana mbambamba kwenye maendeleo ya wananchi

    Kama kumremba Samia huyu dogo anajua. Uzuri Samia hana aibu hata umpe sifa feki anapokea tu! Tumerudi enzi za Magufuli Jembe si jembe!
  7. SN.BARRY

    Rais Samia mpeleke Makamba Wizara ya Afya akaeneze kampeni yake ya "Mama na Moshi "

    Lisu, Makamba au Hussein Mwinyi ndio marais wako watarajiwa. Kuwa makini, Hasa Hussein mcheki vizuri
  8. SN.BARRY

    Tuhuma za Kabendera dhidi ya Magufuli na ukimya wa Kikwete. Je, tuamini ni kweli?

    Dada yoga mlikuwa hamumuamini na riwaya zake, Kabendera na yeye hamumuamini? Ama kweli MEMKWA imeathiri sana watanzania
  9. SN.BARRY

    Dhana ya kuoa mtumishi mwenzake ili wasaidiane kimaendeleo imemponza

    Kweli mkuu, vijana wengi wamezoea ile sogea tuishi, hawajui hata maana ya NDOA.
  10. SN.BARRY

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Huku Yanga inafungwa huku Putin anapigwa! Tunaoumia NI sisi MASHABIKI
  11. SN.BARRY

    Dhana ya kuoa mtumishi mwenzake ili wasaidiane kimaendeleo imemponza

    Mmefunga NDOA kabisa na watoto juu ndio kiwanja na hela ziwatoe imani? Mtakuja kuuana nyie kiss hela na kiwanja
  12. SN.BARRY

    Dhana ya kuoa mtumishi mwenzake ili wasaidiane kimaendeleo imemponza

    HUYO ANAKUWA SIO MKE ILA NI MDANGAJI AU MALAYA ANAYEJIUZA TAFUTA MTU ALIYEFUNGA NDOA KANISANI, AKAHUDHURIA HADI MAFUNZO/SEMINA ZA NDOA AKUFUNDISHE MAANA YA NDOA AU MWILI MMOJA KISHA UANDIKE HUO ....WAKO HAPA
  13. SN.BARRY

    Dhana ya kuoa mtumishi mwenzake ili wasaidiane kimaendeleo imemponza

    ALIOA KAHABA, MDANGAJI! MKE NA MUME NI KITU KIMOJA KUANZIA KUCHANGIA VIKOJOLEO, KUZAA, KUPANGA BAJETI N.K MKE IKITOKEA HANA AJIRA MUME INABIDI UMFUNGULIE MRADI ILI KUOKOA JAHAZI HAPO NYUMBANI. IKITOKEA UNAOA MKE MBINAFSI SIKU UKIPATA UGONJWA AU KUFUKUZWA KAZI MAJI UTAITA MMAA.
  14. SN.BARRY

    Mwl. Nyerere aliwezaje kuwazuia Wanafamilia yake kutoingilia mifumo ya utawala wake?

    Nenda Marekani na Uingereza utawakuta wajukuu zake wanakula maisha. HAKUNA MTU MNINAFSI KAMA NYERERE, HII NCHI KINA SYKES, RUPIA, AIKAEL MBOWE, MZEE MTEI, KAMBONA N.K WALIMSAIDIA SANA ALIKUWA ANATAKA MASIFA YOTE APEWE YEYE. ALIKUWA NA MASIFA KAMA MAGUFULI. MWINYI NA MKAPA NDIO WALIKUWA THE...
  15. SN.BARRY

    Kuna mwana CCM atagombea Urais mwaka 2025 dhidi ya Samia Suluhu?

    Atawaachia vijana Kumbuka hapo alipo ana 64 yrs
  16. SN.BARRY

    Zijue sababu za wanaKigoma kumpokea kwa wingi Rais Samia

    MARIO, NANDY, HARMONIZE, TOT BAND, KWA YA UTUMISHI WA UMMA, BENDI YA JKT MAKUTUPOLA hapo kwanini watu wasijae?!
Back
Top Bottom