Search results

  1. S

    Nimemuonga mpenzi wangu naye amemuonga jamaa, ushauri tafadhali

    Big up Bob! hii separation of power imekaa vizuri kinoma noma. Kama vip jamaa ajipaaaaaange sana
  2. S

    Nimemuonga mpenzi wangu naye amemuonga jamaa, ushauri tafadhali

    Kupelekana polici huko hakukusaidii kitu cha msingi ni kusepa kimya kimya kwani kabla ya kuhonga ulitakiwa kujiridhisha kwanza kama jamaaa yuko kwako for real. Bob ni bora ukaweka wazi mambo yako kwani hapa nahisi ulikuwa unamuhonga huyo demu ili akukubali while alikuwa tayari anamtu wake thats...
  3. S

    ........duh nimeisha....mwili unamtaman sana huyu

    Duuu! Bob umenikumbusha tukio la long timez ....... kipindi hicho nilikuwa na mdada flani ambaye aliachana na mpenzi wake baada ya kumfumania na demu mwingine.....tukaanza urafiki wa kimapenzi one day to my supprise aliniaga anakwenda club na marafiki zake but huko akakutana na huyo x wake...
  4. S

  5. S

    ........duh nimeisha....mwili unamtaman sana huyu

    Hilo la kupiga puchu ni wazo potofu. kwanini apige puchu wakati ana mchumba rijali?
  6. S

    ........duh nimeisha....mwili unamtaman sana huyu

    Pole sana best! lakini manaandiko yanasema jaribuni kuzishinda tamaa za kimwili. Unanafasi kubwa kuishinda tamaa kama utaamua kuwa mkweli wa nafsi yako. kumbuka una mchumba anayekupenda na wala sio anayekutamani. jaribu kupambanua kati ya kupenda na kutamani theni uniambie kipi chenye uzito na...
  7. S

    Wanaume wengi wanaotafuta wachumba humu ni balaa...!!

    obviously kwenye msafara wa mamba hata kenge pia wanakuwepo. kifupi ni kwamba kuna makundi mawili ya watu hapa, moja ni la walioko serious ( ambao ni wachache) na wale walioko kingono zaidi ( hawa ni wengi sana) cha msingi hapa ni akili kichwani mwako meet nao then utagundua yupi ni Mr Right...
  8. S

    Baby will you marry me?

    The quality of love and the duration of a relationship are in direct proportion to the depth of the commitment by both people to making the relationship successful. Commit yourself wholeheartedly and unconditionally to the most important people in your life.
Back
Top Bottom