Search results

  1. S

    Gazeti la Uhuru: Rais Samia hana wazo la kugombea Urais 2025

    Bila katiba mpya itakayoweka tume huru ya uchaguzi Mama atashinda kwa kishindo
  2. S

    Maoni: Safu ya Baraza la Mawaziri haiakisi maendeleo, inaakisi nchi kumilikiwa na familia fulani zinazoamini bila wao hakuna Tanzania

    Kama watafanya kazi vizuri sawa hapa ninapoona umuhimu wa katiba mpya ambayo tutapata tume huru ya uchaguzi
  3. S

    Nina mimba na mtoto ana miezi minne, naomba ushauri wenu nifanyeje?

    Tupe Mrejesho Mkuu vipi ulijifungua salama , ulitumia mbinu gani Afya za watoto wetu vipi
  4. S

    Polisi kitengo cha Makosa ya Mtandao hakifanyi kazi kwa jinsi ilivyotarajiwa!

    Mimi niliibiwa simu yangu nilitafutiwa na sikutoa hata Senti.........na ilipatikana
  5. S

    Hizi ndio ofisi 23 ambazo waajiriwa hujisikia na wana nyodo sana

    bora hao ushakutana na mademu wa baa?
  6. S

    Nini hatma ya nafasi 2 za CHADEMA Afrika Mashariki

    Nadhani Nguvu inayotumika ni hali halisi ya mwenyekiti wetu wa maisha ulishawahi kusikia anapingwa kwenye chaguzi
  7. S

    RC Makonda agoma kuzungumzia kughushi vyeti

    Ni mamlaka IPI...au Nani amewahi kumuomba vyeti makonda akasema hana? Sidhani Mkuu wa Mkoa makini anaweza kutoa vyeti vyake kwa story za mitandaoni
  8. S

    Mtaalamu wa umeme saidia hapa

    Mimi naona hata majenereta ya pale lizaboni nadhani yanaweza kuhudumia kiwanda
  9. S

    Picha zinatisha; Huu ni ugonjwa gani?

    Nimeacha haya mambo
  10. S

    Hivi kwanini Arusha tuko kimya mbunge wetu anasoteshwa jela bila sababu yoyote ya msingi?

    Tusubiri kwanza kamanda anataka awe kama Mandela...ili apate ujiko
  11. S

    DODOMA: Mbowe azungumza na waandishi wa habari, asema Makonda hana mamlaka ya kumuita

    Nimeanza kuamini kwa nini ameitwa....wenzake wamenyoooka kituoni mpaka wabishi akina gwajima
  12. S

    DODOMA: Mbowe azungumza na waandishi wa habari, asema Makonda hana mamlaka ya kumuita

    Aiseee huyu jamaa analeta upinzani kwenye vita ya madawa ya kulevya anazidiwa busara na Mchungaji gwajima ameitikia kwa moyo tena akaenda na kwaya Yake manji na waanasheria Wema na best Yake yeye anatema cheche kwenye mic.......anataka tu kuiingiza serikali hasara watamfuata kama mwewe hizi zama...
  13. S

    Tujikumbushe hawa watangazaji wa redio free RFA

    Lazaro matarange yupo.wapi alikuwa na Sauti nene
  14. S

    Unaanzaje kumvua nguo mke wa mtu?

    Wengine wanavua wenyewe
  15. S

    Wanawake walio wengi huvutiwa na wanaume warefu

    Na ukitaka kujua hili ukitembea na demu wako barabarani.kama.amekamilika lazima atapenda ajilinganishe na wewe urefu
  16. S

    Wanawake walio wengi huvutiwa na wanaume warefu

    Ukiwa mrefu kila nguo inakupendeza ila uwe mrefu mweusi ...pia.ukiwa mrefu hata mkong'osio unakuwa mrefu mpna umechongoka vizuri vile ladies wanapendaga
  17. S

    Papuchi ni neno la kiswahili?

    Lugha ya kiswahili inakua..inaishi hivyo misamiati kuongezeka ni sawa tu..mfano neno kasheshe lilipoanza lilionekana la ajabu....salamu ya.Mambo. ..iliaminika ya wahuni.ghafla Mkuu.wa.nchi.enzi hizo akaanza.kulitumia.. Papuchi oyeeeeeeeeeee...........
  18. S

    Taja kitu kinachokukera kwenye serikali ya awamu ya tano

    Post kama hii inanikwaza sawa awamu hii ya tano
Back
Top Bottom