Search results

  1. M

    Kama umependa wimbo huu........

    soooooooooooooo boring, yani tena nyimbo zenyewe basi hata kama umependa unakatizwa starehe na huyo mdada anaesema kama umependa wimbo huu bonyeza nyota, bora angesubiri mpaka wimbo unapoisha ndo atoe meseji
  2. M

    Mjadala: Kero za michango ya Sherehe katika jamii ya Watanzania

    Ni kipindi kingine cha mwaka ambapo kila mwisho wa mwaka kadi za michango ya harusi inakuwa mingi, inakuaje mtu anataka kufanya sherehe kubwa na hana uwezo? Kwanini usifanye hiyo harusi kutokana na uwezo wako ulionao, ni mpaka usumbue watu wakuchangie? Tena kinachoudhi ni mtu ameshakaa na...
  3. M

    Nataka kulea mwanaume, awe wangu pekee yangu

    mammy labda umchonge mwenyewe kisha umfungie asitoke nje but kikubwa ni kuomba aliye na hofu ya Mungu na anayekupenda, kukujali na kukuheshimu, hata akiwa anaiba kidogo anafanya kwa siri na hutakaa ukajua anaiba, but they are all from the same father tabia zao moja ila wanatofautiana vipimo vya...
  4. M

    Nauza gari ndogo

    imetembea km ngapi? Ya mwaka gani?
  5. M

    "A man should provide for his wife. PERIOD"

    ndoa sio tendo la ndoa pekee tu na majukumu ya kuhudumia familia. Kama jamaa hakuridhishi u can discuss and sort it out together, ila kwanza majukumu ya kifamilia yatimizwe na si kuleta uzembe na kufikiria kuwa utamridhisha mkeo kwa tendo tu. Mke atafurahia vipi na hali anafikiria watoto...
  6. M

    "A man should provide for his wife. PERIOD"

    Mwanaume ili apate heshima katika ndoa ni lazima atimize majukumu yake, ambayo ni kuhudumia familia. Haijalishi mke kakuzidi kipato au la. Mwanamke atakuheshimu hata kama kakuzidi as long as you are taking care of your responsibilities hata kama uwezo wako ni wa sh. elfu moja per day japokuwa...
  7. M

    CRDB ARUSHA BRANCH-huduma zenu ni mbovu

    was thinking of putting a thread juu ya watoa huduma wetu, kwenye mabenki, hospitali, ofisi za watu binafsi, ofisi za umma na za serekali ndo usiseme. Yani utafikiri wamelazimishwa kazi. Na kama hawazitaki si wa kalale. Kichekesho kingine ni hizo atm. Sio crdb tu hata za mabenki mengine utakuta...
  8. M

    Kenyans On Street Again

    sisi tutabaki kupiga domo tu, kawaida yetu ushabiki.. Simba na yanga, Chadema vs ccm, zitto vs makinda, mara babu wa loliondo akili zetu zote zinahamia huko and life goes on
  9. M

    Wanawake wengi tumebadilika kitabia kutokana na tabia za waume zetu

    Kweli misukosuko ya ndoa inaweza kukubadilisha, jambo kubwa ni kumuomba Mungu sana kisha kujijali na kujali wanao, tusijidanganye utaweza kumbalisha tabia. A tiger would never change his spots..
  10. M

    Waislamu huku ni kupotosha jamii

    Haswaa mmejuaje? Au roho mtakatifu amewajuza????
  11. M

    Waislamu huku ni kupotosha jamii

    Yeah right wale manabii wa kila leo na maaskofu wanaozuka na wenye misafara wamefundishwa pia nuruni mbona hamuwaendeikwenye maombi yao, nao pia wanadai ni nguvu za roho mtakatifu au wa kwao ni tofauti na wenu????
  12. M

    Waislamu huku ni kupotosha jamii

    usiropoke wakati hujui ukweli anaejifunza uchawi, elimu ya majin, nyote etc ni kwa maslahi yake binafsi na ushetani wake, watabiri wa nyote wote ni waislamu? Mbona kwenye mitandao ya internet kuna watu wengi na wenye kusoma na kuamini nyota zetu ni waislamu??? Kama mnaamini yesu tu mbona...
  13. M

    Maandamano ya CHADEMA Arusha: Mabomu yarindima, raia wauawa na viongozi wakamatwa

    thanks baba mtu but usicheke/ usidharau mtu hata siku moja kwa matatizo alonayo na kujiona we mjanja sana hayajakufika, hatuombi mabaya kikubwa unapoona mwenzio kwenye matatizo unatakiwa umshukuru Mungu kwa neema aliyokupa, siku njema kaka
  14. M

    Maandamano ya CHADEMA Arusha: Mabomu yarindima, raia wauawa na viongozi wakamatwa

    watanzania walizoea kucheka wenzao walipokuwa wanafikwa na matatizo kama haya na kuwaona wajinga, sasa kimewafika na muelewe what other people are going through and why they have to go through it.
  15. M

    Islam Under Scrutiny by Ex-Muslims

    mbona wanadamu kwa wanadamu tunaangushana, iweje mashetani wasiangushane, yes it too local maana la kwako ni la kithungu,
  16. M

    Islam Under Scrutiny by Ex-Muslims

    yeah right Bush is also with al-shabab
  17. M

    Islam Under Scrutiny by Ex-Muslims

    lets not argue with them, the truth will always stand right, no wonder theirs have so many new things, eg homosexuality, they will try the best to make us look bad, let us concertrate with practicing our religion properly and leave them talking whatever they want, even though they hate it, pole...
  18. M

    Wanawake mngejua...

    it applies on both sides, once you are married you wish you hadn't, it is the same as going to restaurant, once what you have ordered has been brought you wish you had ordered what your neighbor had ordered, kikubwa ni kuvumiliana na kukubali kasoro za mwenzako, no body is perfect, utasubiri...
  19. M

    Mume Na Mke Ndani Ya Gari!

    kama tulikuwa wote vile :D , was just talking about this in the morning nilipokuwa nasubiri usafiri, 90% is like that, inategemea mlivyoamka au mlivyokuwa mnatoka nyumbani!
  20. M

    TBC journalist Jerry Muro held over alleged graft

    something to keep tanzanians busy, as usual the whole country is talking about this, kila utakae kutanana nae baada ya salamu is this case, baada ya muda we all forget and wait for another new topic to discuss.......
Back
Top Bottom