Search results

  1. mkokoteni

    CHADEMA mnatuangusha, mnashindwaje ‘Live Streaming’ hata YouTube? This is unacceptable

    CHADEMA media, this is pathetic.mnashindwa nini kurusha matangazo live youtube???? very angry
  2. mkokoteni

    Diwani wa Chadema Kata ya Nasai iliyopo wilayani Siha mkoani Kilimanjaro, Solomon Mmari ameamua kujiuzulu

    Hivi haya makitu bado tu yanaendelea; very disgusting.
  3. mkokoteni

    Nimefika salama Johannesburg

    Kabla hivyo visenti ulivyokuja navyo havijaisha pita hapo mitaa ya Hillbrow ulizia summit. utawakuta wabichi eeeh neema za allah eeehhhh
  4. mkokoteni

    Paul Kagame huyu huku!

    PaKa kazunguukwa na mabepari. kweli mwalimu alisema ubebari ni unyama
  5. mkokoteni

    Daniel Noah Simon anatafutwa na Polisi kwa tuhuma za kumwibia mwajiri wake

    Piga simu tuongee kama uko kama una taarifa muhimu.
  6. mkokoteni

    Daniel Noah Simon anatafutwa na Polisi kwa tuhuma za kumwibia mwajiri wake

    Ameiba fedha nyingi, tuko tayari kuongeza dau kwa yule atakaye toa taarifa zitakazo pelekea kukwamatwa kwake.
  7. mkokoteni

    Daniel Noah Simon anatafutwa na Polisi kwa tuhuma za kumwibia mwajiri wake

    Fedha Taslimu kwa kiwango kilichoahidiwa kitatolewa kwa yeyote atayatoa taarifa zitakazopelekea Mtuhumiwa kukamatwa na kufikishwa katika vyombo vya Dola.
  8. mkokoteni

    DC wa Iringa Richard Kasesela aamua "kulipa" pozi la picha ya Kikwete

    Hii ndo inaitwa kufuata nyayo za Waasisi wetu kwa vitendo! big up kasesela
  9. mkokoteni

    Mavazi ya wauguzi mahospitalini yanawatia wagonjwa majaribuni

    Hii makitu ya maadili ndo yametufikisha hapa. sasa mimi niseme tu, Manesi eendeleeni kugonga vimini mpaka tuone hii kidomodomo yao itashia wapi.
  10. mkokoteni

    Uhamiaji, Polisi, Magereza Hali mbaya. Mwezi wa 3 Bila Mshahara!

    kwani masela hamjaona ndege imetulia leo ya ATCL
  11. mkokoteni

    Taarifa ya Mhe. Freeman Aikaeli Mbowe kuhusu madai ya NHC

    Kampuni ambayo imeasajili kama Limited Liability ina maana, kuwa kampuni hiyo ni Legal entity. It can be sued and it can sue as well. The shareholders' liability is only to the amount of shares they have subscribed. Kwa maneno mangine, Kama kampuni ina madeni, basi hayo ni madeni ya kampuni na...
  12. mkokoteni

    Waziri Ummy: Kauli ya Rais "Kufyatua watoto" ilikuwa ni utani, Sera ya Taifa ni uzazi wa Mpango

    Chukulia matharan kesho Mtukufu anakanusha alichosema waziri kuwa ni Utani. na kwa mfano, Mtukufu akasema msema kweli ni mpenzi wangu, wala sikufanya utani wala mzaha .... fyatueni. sijui waziri atasema nini. Fundisho: kwa vile aliye sema yupo, ilikuwa sahihi yeye mwenyewe aseme .... wajameni...
  13. mkokoteni

    Kusitishwa Msaada wa Marekani Uwe Mwanzo wa Kusitishwa Mingine

    Issue hapa sio kujitegemea au kutokujigemea. Issue hapa Je, uchaguzi wa marudio Zanzibar ni wa halali. Kama haukuwa wa halali, hautaweza kuhalalishwe na Donald Trump. Kama haki hajatamalaki ndani ya nchi, hata hizo kodi unazosema serikali ikusanye, bado haki hakuna, hivyo misuguano haitaishia...
  14. mkokoteni

    Ipe maneno picha hii ya Waziri Mkuu Mstaafu

    shingo ni ya mchinjaji
  15. mkokoteni

    Wabunge wataka Milioni 130 badala ya 90 kama mkopo wa gari

    Duh yaani sasa Ubunge haulipi kabisa....... washakula hasara.
  16. mkokoteni

    Swali la Ugomvi: Kwani Lowassa Kawa Mganga wa Kienyeji?

    Since then I have locked these two persons in one cell; Mzee Mwanakijiji and Humphrey Polepole. Since then, I have thrown the keys until on 28th October 2015 whereby, i will release them from the cell. I hope, during that time, they both, will come into their senses!!!!
  17. mkokoteni

    Taasisi ya Kiislam yatoa tamko dhidi ya Lowassa na Gwajima, kuhusu Uchaguzi Mkuu 2015

    MImi ni mwislam, nitampigia Kura Edward Lowasa, mbunge na diwani a Ukawa. Hakuna sheikh ubwabwa atayeniambia nimevunja nguzo au sheria yeyote ya dini ya kiislam. Kajipange upya nyinyi na wale waliyo watuma full stop
Back
Top Bottom