Search results

  1. S

    Huyu ndiye fisadi hatari zaidi

    Chuki binafsi
  2. S

    Huyu ndiye fisadi hatari zaidi

    Chuki binafsi
  3. S

    Kigogo mwingine CHADEMA ajiunga na CCM leo

    Huyo alishafukuzwa kwenye chama siku nyingi
  4. S

    Prof. Ibrahim Lipumba: Tumeistukia UKAWA

    Propaganda! Mbivu na mbichi ni 2015
  5. S

    Wassira na Mwigulu, Mwaka Mmoja umepita..

    Mwigulu na wassira hawajui kusoma alama za nyakati wanathamini vyeo na propaganda zilizopitwa na wakati
  6. S

    CHADEMA punguzeni kutembeza bakuli kwenye mikutano yenu

    Chadema hawalazimishwi kuchangiwa kama mleta uzi ulivyopotosha .cdm inachangiwa na wanachadema na wananchi wenye kupenda mabadiliko tofauti na tozo ya laini za simu ambapo ni lazima kwa kila mtanzania .tofautisha mchango wa hiari na tozo ya kushurutishwa kwa faida ya mafisadi na si walala hoi
  7. S

    Hii ndio kauli ya Mwigulu iliyowafanya wana Arusha kumkubali...

    Wenye maamuzi ni wapiga kura wa arusha na si vinginevyo
  8. S

    Polisi wahaha kufuta ushahidi wa bomu na risasi

    Cdm wanatumia teknolojia ya kisasa kuna kila sababu jeshi la polisi likaangaliwa ,mfumo wake na uadilifu
  9. S

    Police wachafua hali ya hewa kwenye kijiji cha Kakola

    Si kosa lao amri imeshatolewa ni kupigwa tu !!!!
  10. S

    Lema na wafuasi wake wavamia kituo cha polisi

    Mleta 'topic' bw.lema na mwigulu nchemba ni nani mchochezi? Kati yao ni nani janga la kitaifa?
  11. S

    Kinana amburuza Msigwa kortini

    Ukweli utajulikana mahakamani pindi haki itakapotendeka
  12. S

    Kutoka Kampeni za Vijiji Iramba Magharibi: Aliyemuuzia Jina Mwigulu aibukia CHADEMA

    Siku za mwizi ni arobaini hadi 2015 mwigulu fake' na mwigulu original' atajulikana
  13. S

    Kuvamiwa kwa Lema: Maongezi yangu na RPC & Barua kwa Mkuu wa Mkoa Arusha

    Tunaamba amani isitoweke kwa ajili ya mtu mmoja kutaka kujiona yeye yuko juu ya sheria
  14. S

    UHURU: CHADEMA wafanya uchochezi wa nchi kutotawalika, wanapanga maandamano kuvuruga serikali

    Walimu kupuuzwa na kulazimishwa kufundisha kwa amri ya mahakama wakati wana madai ya msingi ni matokeo mabaya ya std 7,fm2 na fm 4 ni viashiria tosha kwa magamba kwamba wao ndio wanaoifanya nchi isitawalike
Back
Top Bottom