Search results

  1. B

    Nimelala na mwanamke kitanda kimoja usiku kucha ..........

    Kijana wataka kuingiza mchanga kwenye kitumbua chako wewe! Achana na mambo ya ku-save money kwa stahili hiyoooo coz usipotafakari kwa makin after that safari utatumia more money kwa huyo mdada + mke wako huku ukijiweka matatan kubomoa ndoa yako... Hama baba for your marriage sake na skendo ya...
  2. B

    Mume wangu kakata mawasiliano ya 'Chakula cha Usiku' kwa miezi 8, Nifanyeje?

    Pole dada kwa yalokukuta, kwanza nakushauri badili hili unavyojiita " Lonely heart" yawezekana shetan akatake advantage kwa kuzuia Mungu asifanye kazi ya kukupa aman n upendo kwenye ndoa yako... jina linachangia kuleta uzima au uharibifu kwa mtu... Pili chunguza nyendo zake uone kama kuna kamtu...
  3. B

    Rais Kikwete anapofikiri kama Kabwe Zitto...

    Mh. Rais, kaka mkuu wa CCM katika kulinda maslahi ya chama ilimbidi akonge nyoyo za watu wake kwa defending mechanism kuwa CCM haitokufa... HAPO hayuko sahihi sana sababu kabla kifo hakijaizika CCM tunaona mipasuko kibao ndani ya chama... hii ni alama tosha kwa mgonjwa ameshaumwa vya kutosha na...
Back
Top Bottom