tulishayasikia sana kama haya yako, inaelekea bado hujakua wewe bado hujui hata kuidhibiti mihemko yako angalia mama yako mzazi usije ukamtendea hivi ikiwa atakuonesha mapaja yake maana dunia imeharibika tumesikia mara nyingi mama wazazi wanatembea na watoto wao...jaribu kumjengea picha ya...
Nimekutana na hali hiyo mara nyingi, nafanya kazi kwenye kampuni fulani hapa Dar wafanyakazi wote wanakunywa pombe isipokuwa mimi vinywaji navyopendelea ni vinywaji laini kama redbull kila mara napokutana na jamii mpya inaniuliza 'wewe ni mlokole?huvuti sigara?dah inaelekea we kwa madem noma'...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.