Search results

  1. P

    TRA waangalie pia kanisa Katoliki na mengine ambayo ni tajiri sana baada ya Kakobe

    Namuona kakobe kama shujaa Mkubwa aliyeanzisha kazi yake/ ministery na ikawa na uwezo kwa kusimama Tanzania nzima na nje ya Tanzania,nitamsifia kakobe sana kuliko Catholic sbb ni system iliyowekwa na watu ambao hatujawaona kwa macho, kama makanisa yangekuwa viwanda,basi kakobe ni mjasiliamali...
  2. P

    Cheo kipi ni kikubwa kati ya Balozi na Director General

    Hivi ni kweli mshahara wake hauwezi shuka,nimesikia kuwa kuna level ukifika serikalini mshahara uwa haushuki hata kama umeshushwa cheo,jibu la uhakika please wadau
  3. P

    Iran: Israel itafutwa kwenye ramani ya dunia

    Naona kama wote mnaongea kama story za kusadikika,ukweli ni kwamba hakuna mwenye nguvu kuifuta israel isipokuwa mola tu.
  4. P

    Ufugaji wa kisasa wa Sungura: Ushauri wa masoko na faida za ufugaji

    Mkurungezi kwa hapa Tanzania anaitwa Atukuzwe Nkya,ongea naye kwa simu yake moja kwa moja kwa wale mlioko dar,atakuwa hapo kuanzia kesho kwani kwa sasa yuko njiani kuja kwenu dar,0767598080, 0717598080
  5. P

    Mwanajeshi wa kike aliyepambana na magaidi waliovamia Kambi ya Jeshi apewa nishani ya ushupavu

    uwa hakuna njia nyingine ya kuvisha hizo nishani,sababu mimi siwezi ruhusu mke wangu ashikwe hivyo
  6. P

    Sakata la Gwajima: Serikali inapoamua kukumaliza

    kazi ya kanisa ni kueneza injili hayo mengine ni ziada tu,sio wito wa wakristo,mathayo 28:20 na kuendelea
  7. P

    Hili la Kenya, UDOM mna la kujifunza

    Rais ajaye aondoshe hijabu katika shule za umma
  8. P

    Ngereja, katubu kwa Kakobe tafadhali

    Hajamkosea mungu amewakosea watoto wa mungu,wenye mamlaka ya kufunga na kufungua
  9. P

    Mjengo wa Drogba Noma Sana

    Ufahali wa bure tu,nyumba ka hotel,uenda anafuga majini
  10. P

    Mke wa mchungaji ananitaka

    Kwenye namba yake ya simu futa jina ulilosave na andika jina jipya nalo ni SHETANI WA KIKE,ili kila akipiga umkee vizuri shindwa pepo la uzinzi,na siku ukifanya hicho kitendo jua ndio mwanzo na mwisho waka kimaisha,u will never make any progress in your life,because she is the wife of anointed...
  11. P

    Toyota rv4 inatafutwa inayouzwa

    Ya arusha piga 0755069254
  12. P

    Toyota rv4 inatafutwa inayouzwa

    Ipo arusha ya kijan na utepe mweusi,
  13. P

    ISIS beheads American journalist

    Kumbe ni walowezi wa magharibi wenye asili ya uarabuni,hiyo ni njia mpya wanayotumia waarabu ili kuaminisha watu kuwa hao vijana ni raia wa ulaya au marekani,mtu kamwe haachi asili yake hata kama atavuka mipaka.
  14. P

    Mohammad is top name for baby boys in England

    Uislamu unaongezeka kwa njia kuu tatu,kuzaana,jihad,na mihazara ya kukashifu dini zingine
  15. P

    Mohammad is top name for baby boys in England

    Sio kila msalaba ni Yesu,msalaba ulikuwepo kabla ya Yesu duniani,ulitumiwa na warumi kuwatesa watu waliopinga utawala wao,roman empire,na ndio waabudu shetani wengi wanatumia broken msalaba,ishara ya ukristo duniani ni fish.
  16. P

    Msaada sina mtoto mpaka sasa

    Kama huko arusha dr msuya pale st thomas yupo
  17. P

    PICHA: Silaha alizokamatwa nazo Mansoor

    Mbona hata adamu malima alikutwa na siraha kipindi alipoibiwa japo waliiba vitu vingine na kumbakizia siraha zake. Kweli ccm ni janga la kitaifa
  18. P

    Dr Slaa kuunguruma leo Dar!

    Hata mimi nilishangazwa sana na waziri mkuu kuja arusha manyire kuzindua transformer ya umeme.
Back
Top Bottom