Search results

  1. Tky

    Kwa nini chadema wanatumia nguvu sana kwenye hili swala la Madawa?

    Umekosa vtu vya kuandika, cdm wamtete wema au diamond!!!!
  2. Tky

    Dk. Slaa: CHADEMA tutashiriki midahalo yote ya Uchaguzi Mkuu

    hatukujibu kwani hatutaki uvae gwanda.
  3. Tky

    ACT Wazalendo Kimara Matangini tarahe 6/06/2015

    Na ubunge mwaka huu hapati, atausikia tu, zambi ya usaliti itamtafuna huyu yuda had ajifunze.
  4. Tky

    Mkutano wa Kihistoria wa Kinana uwanja wa Mashujaa, Mayunga - Bukoba

    Dada juliana shoza, uwe mkwel tu bado mapenzi yako yapo cdm! Sema ukwel tu dada msema kweli mpnz wa Mungu dada.
  5. Tky

    Mkutano wa Kihistoria wa Kinana uwanja wa Mashujaa, Mayunga - Bukoba

    kama kuna vijana wanavuta bangi na wanakunywa viroba afu wanapata ujasili wa kupambana na majizi nawasihi pigen zaid hata mara 3.
  6. Tky

    Ni bora vijana wavuta bangi na wanywa viroba.

    Natamani nigawe viroba na bangi, kwa waendesha bodaboda, waokota makopo, wasukuma mikokoteni na vijana wengine wote ambao hawana shughuli za kufanya kwa sababu ya ukosefu wa ajira.
  7. Tky

    Ni bora vijana wavuta bangi na wanywa viroba.

    Wanajamvi ni mtazamo wangu tu, mimi naona ni bora vijana wavuta bangi na viroba kama vinawapa ujasili wa kupambana na mkoloni mweusi ccm, nawasihi kama unakunywa viloba na unavuta bangi na vinakupa ujasili kutetea haki yako dhidi ya utawala mmbovu wa ccm zidisha mara tatu zaid tuendeleza mapambano.
  8. Tky

    Updates na Picha: Mkutano wa ACT-Wazalendo Arusha leo 29/04/2015

    asante umekubali kua alikosea, na chama chenu kinapokea watu waliokosea kwenye vyama vyao na ndio maana kinaitwa chama cha wasaliti.
  9. Tky

    Zitto: Nashangazwa na Msimamo wa Mbowe Kuhusu UKAWA

    Na mimi narudia tena hatumtak.
  10. Tky

    Prof. J kutikisa Kimara mwisho DAR

    Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mtaa wa Kimara Matangini kimeandaa mkutano mkubwa, utakao fanyika katika viwanja vya Kimara mwisho stand siku ya tarehe 1/05/2015. Mgeni rasmi katika mkutano huo atakua prof J. Upatapo tarifa hi mjulishe na mwenzio karibu sana.
  11. Tky

    CHADEMA na style ya kupunga mikono hewani

    Delete kabsa.
  12. Tky

    Vijana NCCR-Mageuzi: Hatuwataki Dr. Slaa na Lipumba urais UKAWA

    Kafungie vitumbua hlo gazeti.
  13. Tky

    Tafadhari Brother Freeman Mbowe, Tujitafakari upya

    Dogo anakufa kiume, atakuja kugundua kuwa alkosea akiwa amechelewa sana.
  14. Tky

    NCCR - Mageuzi yateua mgombea urais, ni George Kahangwa

    Sipotez time yng kusoma utumbo huu.
  15. Tky

    Tundu Lissu ndani ya Mafia

    wote tulio pigika na serikali ya mafisadi ukiangalia vichwa vyetu kama hutupo sawa hv. Lakini october 25 tutakua sawa.
  16. Tky

    Tundu Lissu ndani ya Mafia

    Huu mziki wa CHADEMA sasa ni hatari, CCM ni mkoa gani mnaweza kuponea nyie maana sumu ya ukombozi ndio inasambaa hivyo. Wanajamvi, mh. Tundu Lissu kapiga kambi Mafia. Tarifa hizi zilitolewa na Mabere Marando alipokuwa akihutubia mkutano wa wananchi Kibaha.
  17. Tky

    Dr. Slaa apokelewa uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere akitokea Marekani

    mafisadi munawaza kulpana 2, wezi nyie.
  18. Tky

    Dr. Slaa apokelewa uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere akitokea Marekani

    Vijana na makamanda wa CHADEMA, wapo ktk uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere, wakimsubiri Katibu mkuu wa CHADEMA, Dr. Slaa akitoka ziarani nchini Marekani. Makamanda, Dr na rais wa mioyo ya watanzania ndo anawasili muda huu, vijana wanasubili utaratibu wa msafara wa Dr.
  19. Tky

    ACT - Tanzania inapambana na vyama vyote Tanzania

    Cdm hatudeal na mkia act unadeal na kchwa chchm.
Back
Top Bottom