Search results

  1. Sokoine2

    Pikipiki inahitajika

    Habari! kama unapikipiki fekon, san lg or Tbetter na unaiuza fanya mawasiliano nami kupitia no 0754086882. Ubora ni sifa mhimu na bima pia mhimu! Bajeti ni 800k+
  2. Sokoine2

    Pongezi OCD Mbarali kwa kutuliza vurugu bila madhara!

    Napenda nichukue nafasi hii kumpongeza ocd wa mbarali kwa kufanikiwa kutuliza vurugu zilizotokea tarehe 29.10.2013 ktk kijiji cha ubaruku baina ya wananchi na mwekezaji wa kampuni ya mbarali highland estates. Nampongeza sababu vurugu zilikuwa kubwa na uharibifu wa mali pia ulikuwa mkubwa, na...
  3. Sokoine2

    Mkutano wa Dk. Slaa Mbarali

    Wakuu habari! Leo unafanyika mkutano wa hadhara wa CHADEMA utakaohutubiwa na dk. Slaa kata ya Ubaruku Mbarali. Na sasa makamanda kutoka maeneo mbalimbali ya wilaya ya Mbarali ndo wanawasili. Nitatoa dondoo mkutano utakavyokuwa unaendelea.
Back
Top Bottom