Search results

  1. M

    Wakina-Baba na Mama Mlio Viongozi Mafisadi Mnaaibisha Familia na Jamii Zenu Daima..

    Ok. jamani sasa ebu jiweweke, uvae viatu yaani uwe wewe ndo mtoto wa hao mafisadi. Je? Ungejitenga? Au ndo ungekuwa karibu na marafiki, hili usikie vizuri kinachoongelewa, hili ukamshauri mzazi wako.Japokuwa mzazi nae anweza kuwa mkali kwako. Kifupi kama mimi ningekuwa ni mmoja wa watoto wa...
  2. M

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    wanaJF kama mnataka kufahamu kuwa huu umerekebishwa au la angalieni kwenye katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania 1977 as amended from time to time pages flani za mwisho mtaona the amended version ya articles of the union.
  3. M

    The Radar Scandal: Investigation & Progress

    huyu chenge siku zake zimefika na BWANA atamuangusha na ameshaanza kumuangusha kwa kumuumbua eti anajidai kuweeka mawakili toka ulaya na amerika si angewapa mawakili wa tanzania hivyo vijisenti kidogo jamani!!!!!!!!!!!!
  4. M

    Mr. President... Please don't do it. tomorrow..

    huyo Kikwete anayeogopwa amemaliza ziara zake huko ulaya? Hivyo atahudhuria huo mkutano huko Mauritius? Na kama hasipohudhuria atakayemwakilisha atasikilizwa kama ambavyo angesikilizwa yeye Kikwete personaly?
  5. M

    Mr. President... Please don't do it. tomorrow..

    Mimi ni member mpya wa JF, hongereni kwa maoni. Kwa leo kilichonigusa ni hii issue ya kusema kuwa yanayotokea Zimbabwe, yaliyotokea Kenya na Somalia na Dafour ni aibu kwa Afrika, jamani hee!! Haya maufisadi ya Tanzania sio aibu mbona hamkuyataja? Kwamba ni aibu kwa Tanzania na Afrika! Eti ni...
Back
Top Bottom