Ni nchi pekee dunianiiliyozungukwa na maziwa, yenye mito mingi na bahari, yenye ardhi nzuri yenyerutuba na rasilimali kibao, lakini bado ni masikini wa kutupa. Linganisha na nchikama Vietnam ambayo ilipigana vita virefu na wakoloni Wafaransa, wavamiziwamarekenai lakini hivi sasa makampuni ya...
Mada hii haina ukweli wowote na inaelekea ni propaganda zenye lengo la kupotosha watumiaji umeme na pengine kutoa matumaini hewa ili wanajamvi wasiliendelee kufuatilia mjadala mpana wa yaliyotokea kwenye kashfa ya hivi karibuni ya IPTL. Awali ya yote ni vyema ikaeleweka kuwa ili mitambo ya...
Ni aibu iliyoje kwa nchi hii kuruhusu ufusadi wa nmna hii kutokea. Machoni mwa wawekezaji na jumuiya ya kimataifa Tanzania itaonekana kioja ikiwa hata Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Benki Kuu Maofisa wa kuu wa wizara ya Nishati na Madini, TANESCO, TRA na BRELA hawakuweza kufanya due...
Hii ni aibu ya mwaka. Kama wahusika wanajua tatizo la upotevu na udanganyifu wa biashara ya dhahabu halafu wao ndiyo wanakuwa wa kwanza kulalamika, sijui maana yake nini. Huenda wameshindwa kazi au hawaelewi wajibu wao au wanaogopa kuchukua hatua na kwa maana hiyo uongozi umeshindwa. Mungu ionee...
Hoja ya Mzee Msekwa inautata mkubwa na inaashiria changamoto kubwa ya kupata Katiba inayofaa kwa nchi yetu. Umuhimu wa kuwa na Katiba Mpya unaeleweka na kila mtu na ndiyo maana watu walijitokeza kwa wingi kushiriki kutoa maoni nakadhalika. Yaelekea kwa kuwa rasimu iliyotolewa haiwapendezi wengi...
Tanzania haijakabidhi gesi asili kwa China. Gesi hiyo bado inamilikiwa na nchi na uendelezaji wake hufanywa chini ya mikataba wa kugawa na mapato. Kuhusu watanzania wanaosubiri kunyongwa huko China, ieleweke kuwa wao wenyewe ndiyo walichagua kujiingiza kwenye biashara hiyo na kwa maana hiyo...
Biashara za kimataifa tunazijua vizuri sana na ndiyo maana tunasisitiza kuwa kilichotokea kati ya PAP na watendaji wa serikali ni wizi. Kama huamini subiri Benki ya Standard Charters ya Hong Kong itakapoleta madai yake ndiyo utaona na ubaini wizi ulifanyika na aibu itakayotufika watanzania...
Hoja iliyotolewa na Naibu Waziri wa Nishati na Madini kuwa gharama zaumeme zitashuka toka Senti za kimarekani 35 hadi 40 kwa uniti moja hadi sentiza kimarekani 8 baada ya kumalizika ujenzi wa bomba la gesi kutoka Mtwara hadiDar es Salaam, zinatia mashaka makubwa kwa sababu zifuatazo:
i...
Hakuna chama ambacho hakina doa, kwa kuwa binadamu siyo malaika na wala hawatakuwa. Mtoa hoja anataka kutuaminisha kuwa chama tawala ndiyo kiko vizuri zaidi. Lakini anasahau nacho kina matatizo na changamoto nyingi tu. hapa naona ni propaganda tu wala hakuna hoja yenye mashiko.
Prof. Muhongo ni mababaishaji na mzigo mkubwa kwa Watanzania. Tangu aingie Wizara ya Nishati na Madini imekuwa ni janga la kitaifa. Ukiangalia sekta zote mbili(Nishati na Madini) uwekezaji umekwama, hali ya umeme ni tete, uwekezaji katika utafutaji wa mafuta na gesi nao umekwama (ni wale tuu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.