Search results

  1. K

    Kwanini wastaafu wasipewe pensheni ya kila mwezi wakati wanasubiri mafao ya mkupuo?

    Mashirika ya pensheni hayana hizo pesa. Kadri wanavyokucheleweshea kukulipa ndio wanasave pesa za baadae, kwani unajipunguzia siku za kuishi kwa kuwa na mawazo mengi Rai kwa wafanyakazi wa pspf na nssf. Na wao watastaafu. wawe na huruma
  2. K

    Rais Magufuli, please don't bow down kwa hawa mabeberu wa US na EU, waeleze Tanzania ni nchi, a sovereign state

    True., we should not mistake for 1 second Kenya will be on our side once US and EU sanctions are effected. They will be the ones who will celebrate the most from our downfall. Kenya as a whole will thanks us for our stupidity in making their lives easier, since they will be the defacto...
  3. K

    Rais Magufuli, please don't bow down kwa hawa mabeberu wa US na EU, waeleze Tanzania ni nchi, a sovereign state

    Most countries with worse human rights and very bad democracy than us are either in rich and powerful countries ( China, Russia, Saudi Arabia etc) or are under heavy sanctions (Venezuela, Zimabbwe etc). We can not have our cake and eat it. If we have decided to ignore all western standards of...
  4. K

    Wakili Albert Msando na Zitto Kabwe wajibizana kuhusu mafao ya wastaafu kukatwa kodi

    unadaiwa invome tax the second you get an income. Pensheni yako ni income,hivyo ccm na serikali yao watakukata deni la income tax ya pensheni yako. Hawaongelei deni la nyuma, kwani ulishakatwa wakati unafanya kazi. Hakuna mwajiriwa tanzania anayelipa paye yeye mwenyewe.
  5. K

    Wakili Albert Msando na Zitto Kabwe wajibizana kuhusu mafao ya wastaafu kukatwa kodi

    Hiki ki-msando kweli kipuuzi. Income tax kwa kiswhaili ni kodi ya mapato. Kwa maana kuwa kama umepata kipato utadaiwa hiyo kodi. Pensheni ni kipato. Kama hujasamehewa invome tax kwenye kodi, maana yake TRA watakokotoa invome tax yao uwalipe. Ukilipwa mshahara hii ndio PAYE. Ukilipwa pension...
  6. K

    Rais Magufuli: Kama vyuma vimekaza, weka grisi vilainike

    Hajui kiswahili pia hata mantiki imempiga chenga. Kimantiki kuweka kilainishi kwenye kitu kigumu inatafsirika kama kutoa rushwa. Kimantiki ni sawa ametangazia taifa kuwa kama mambo magumu, toeni na pokeeni rushwa.
  7. K

    Mikopo na watanzania

    Wakopesheni kwa riba za kibinadamu muone kama watashindwa kulipa. taasisi za fedha nyingi riba asilimia 5-10 kwa mwezi, kwa mwaka ni hadi asilimia 100. Watalipaje? Bishara ngapi zina faida ya asilimia 100 kwa mwaka? Benki chache ndio zinakopesha asilimia 20-30 kwa mwaka. Hii bado kubwa sana...
  8. K

    Naomba kuifahamu CV ya Mwenyekiti mpya wa UVCCM ndugu Kheri James

    Kuna sababu hajibiwi. Kila mtu anajipenda. Nani yuko tayari kusema mkuu wa nchi anajaza familia yake kwenye uongozi wa nchi kama Mugabe?
  9. K

    Polepole amjibu Lowassa(CHADEMA) kuhusu kusamehewa kwa Babu Seya

    Babu seya amefungwa 2003/2004. Lowassa hakuwa waziri mkuu.
  10. K

    Makongoro Nyerere angepata urais 2015 ingekuwaje?

    Umesahau huyu bwana amefukuza watu kazi kwa tuhuma? Umesahau kuna maafisa waandamizi wanasota jela kwa tuhuma? Wafanyabiashara wamesotweshwa jela kwa tuhuma? Why the double standard?
  11. K

    Makongoro Nyerere angepata urais 2015 ingekuwaje?

    Acha kupotosha. Raisi hana leeway ya kuchagua wahalifu. However anaweza kuwalinda. Huyu bashite mhalifu(mfojiji) atalindwa hadi atakapokuja raisi atakayeamua kutokumlinda. Then justice will be served. Haijalishi ana elimu ya darasa la kwanza au ana PhD 20. The moment anafanya fraud amecommit...
  12. K

    Makongoro Nyerere angepata urais 2015 ingekuwaje?

    Pasco kachanganyikiwa. Huwezi sema mhalifu aliyethibitika kufoji na kudanganya kuhusu elimu yake kuendelea kulindwa kwa excuse ya kuwa vigezo sio lazima., Well jinai haifutiki. Jambo jema kuhusu jinai ni kuwa akishaondoka magufuli, kesi ya bashite kufoji elimu na ku-commit fraud itakuwa bado...
  13. K

    Bomoabomoa mpya Dar yaja: Nyumba 1,200 kubomolewa

    Mmechagua wehu, mavunjavunja. Barabara ya mita 120 kila upande mnapitisha vifaru na ndege za kivita?
  14. K

    Patrobas alitaka fursa gani CHADEMA?

    Itakuwa fursa ya kuolewa aliyonyimwa
  15. K

    TANESCO wakubali kubomoa jengo lao, waahidi upatikanaji wa umeme wakati wa kutekeleza agizo hilo

    Haitafika kule Pale kunajengwa kidaraja tu, na mataaa yatakuwepo, kule jengo la tanesco zinafika service roads tu. Tembelea nchi za watu utaona flyovers zilivyo
  16. K

    TANESCO wakubali kubomoa jengo lao, waahidi upatikanaji wa umeme wakati wa kutekeleza agizo hilo

    Nchi inayomuona Dakta Shuka ni mzima wa afya si ajabu kuwq na viongozi wa sampuli za kubomoa jengo la mabilioni kupisha service road ya mamilioni
Back
Top Bottom