Search results

  1. Arajick

    KIBITI: Mtendaji wa Kijiji na Mwenyekiti wa Kitongoji cha Mangwi wauawa kwa kupigwa risasi

    Hii uende pamoja :nani wanahusika...na pili chanzo ni nini????ukabila???? Uhasama????au nini chanzo????
  2. Arajick

    KIBITI: Mtendaji wa Kijiji na Mwenyekiti wa Kitongoji cha Mangwi wauawa kwa kupigwa risasi

    Timu inafaa kutumwa kibiti kujua chanzo cha mauaji..LAZIMA KUPATA SABABU YA MAUAJI HAYO.....
  3. Arajick

    ACACIA: Hatujafikia makubaliano yoyote ya kuilipa Tanzania

    Walisema wanasheria wa pande zote mbili watakaa pamoja kuona kilichofanyika..na ikionekana wamekiuka watalipa.....
  4. Arajick

    Natafuta mganga wa kienyeji hapa Dar es Salaam

    Muitie wazee au mahajamani...akikukana basi mwachie Mungu......utafunguluwa milango mingine na atakushangaa
  5. Arajick

    Mnyika aahidi kumchukulia hatua askari wa Bunge aliyemsukuma

    Kiukweli John mnyika hakytendewa haki na spika.....pale mnyika alipoambiwa nwizi....na mnyika alipotaka kujitetea ...spika ndo alimkatalia...ndipo ugomvi ulipoanzia......
  6. Arajick

    Baada ya "Vuta Nikuvute" sasa mwili wa Mzee Ndesamburo kuagwa Uwanja wa Majengo badala ya Mashujaa

    Labda anamaimu nafasi ya Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro baada Neck Sadiq kuachia ngazi...
  7. Arajick

    Sakata la Mchanga wa Madini: Mwanasheria wa ACACIA yuko London kufungua kesi

    Nazani mkuu wetu hawezi paramia mambo....SANYINGI AMESHAONA NA MLANGO WA KUTOKEA???KUNATETESI KUWA BAADHI YA MAKAMPUNI YATAFUTIWA LESENI....SIJUI MMEONA NA HAPO?
  8. Arajick

    Sakata la Mchanga wa Madini: Mwanasheria wa ACACIA yuko London kufungua kesi

    Hata wanasheria wetu kwa pamoja washikamane bila ' kujali vyama vyetu tusaidiane tutetee mali yetu pls.......nia ya serikali yetu ni njema sana
  9. Arajick

    Sakata la Mchanga wa Madini: Mwanasheria wa ACACIA yuko London kufungua kesi

    Tuiombee serikali yetu katika jaribu hilio lipite salama
  10. Arajick

    Nahisi hili jitu linachukua msichana wangu

    Huyo jamaa ajipe moyo asiangalie boxer bali aangalie mchumbake... Sent from my SM-G388F using JamiiForums mobile app
  11. Arajick

    Nahisi hili jitu linachukua msichana wangu

    Hv unamhamisha mtu au ng'ombe? Amukubali kumhamisha???mwombe ndo umhamishe
  12. Arajick

    Kuombewa na mtumishi wa Mungu GeorDavie ni laki moja kwa kila mtu

    Kiukweli watu wengi sasa hv wana mahangaiko mengi na changamoto nyingi ya maisha...hivyo wakisikia kuna msaada mahali watajazana hapo..tena hata kwa kutoa pesa.....tatizo imani hakuna....NENO la Mungu linasema kuwa "Mwana wa adamu atakapokuja ataikuta imani duniani?" Tujipime
  13. Arajick

    Kuombewa na mtumishi wa Mungu GeorDavie ni laki moja kwa kila mtu

    Je unaweza ukapata utajiri wa gafla?
  14. Arajick

    Kuombewa na mtumishi wa Mungu GeorDavie ni laki moja kwa kila mtu

    Labda kuna kiwango cha watu wa hali ya chini??
Back
Top Bottom