Search results

  1. B

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Kachanganyikiwa, anamtukana rais ajaye!
  2. B

    Kituo cha kuhesabia kura ni Lazima

    Wazo safi
  3. B

    Prof. Lipumba na Dr. Slaa, Nini kimejificha nyuma ya hiyo misimamo yenu?

    Huu ni usaliti Mkubwa Wa Lipumba, Na pia hii Ni money laundering
  4. B

    Dr. W. Slaa anaondoka CHADEMA

    Dr Slaa hawezi kuodoka Chadema hata Kama mtajaribu kumnunua kwa mabilioni. Dr Slaa si mroho Wa vyeo kiasi kwamba asipopewa nafasi ya kugombea urais ndio aondoke kwenye Chama!
  5. B

    Masharti ya Lowassa kujiunga UKAWA

    Mkuu Hakuna ushahidi ulio wazi Kama Wa escro. Sema escrow tume haikuundwa tungesikia mengi
  6. B

    Masharti ya Lowassa kujiunga UKAWA

    Ni kweli Masharti ni magumu lakini yanawezekana. Inabidi Lowasa afanye Maamuzi magumu. Kule CCM hawamtaki. Pia hatutaki aje kuvuruga vyama ndani ya UKAWA. Ni vizuri akaingia smoothly. Hayo masharti ni compromise nzuri kwa pande zote
  7. B

    Masharti ya Lowassa kujiunga UKAWA

    Hakuna mtu anayethibitisha ufisadi Wa Lowasa. Tumeona mafisadi hadi Wa escro lakini bado wanapeta ndani ya CCM!
  8. B

    Masharti ya Lowassa kujiunga UKAWA

    Apewe makamu Wa Rais
  9. B

    Masharti ya Lowassa kujiunga UKAWA

    Kweli kabisa Na Lowasa si mbaya sana hata kuliko mafisadi wanaogawana Pesa za escro hadharani
  10. B

    Masharti ya Lowassa kujiunga UKAWA

    Ni sawa Mkuu apewe mgombea mwenza Wa nafasi ya urais
  11. B

    Masharti ya Lowassa kujiunga UKAWA

    Kama akikubalika ni vizuri apewe uongozi Wa juu. Lowasa ana vision na ana watu wengi wanampenda hivyo atasaidia kuunganisha watu na kuleta maendeleo
  12. B

    Humphrey Polepole: Sio Dr. Slaa wala Lipumba wanaofaa kuwa wagombea urais wa UKAWA

    Naona polepole katumwa, kumbuka kuna billion 150 zinazunguka!
  13. B

    Masharti ya Lowassa kujiunga UKAWA

    Ni vizuri Lowassa akakubaliwa UKAWA kwa masharti yafuatayo; Aikane CCM hadharani. Azikane mila za kifisadi za CCM. Kama ufisadi anasingiziwa basi aseme kwa nini anasingiziwa. Awakane marafiki zake mafisadi kama Rostan na Karamagi. Aahidi kutosaliti UKAWA. Awe mwanachama wa -NCCR mageuzi...
  14. B

    Wanaotangaza nia ya Kugombea Urais mtegoni!

    Naona sasa ni Augustino Ramadhani
  15. B

    Wanaotangaza nia ya Kugombea Urais mtegoni!

    Mkuu sijasoma sheria lakini common sense huu ni mtego. Na Leo Naona hata Maalim anaelekea kuingia mtegoni!
  16. B

    Wanaotangaza nia ya Kugombea Urais mtegoni!

    Atuwekee kipegele kinachohusu masharti ya lini kampeni inatakiwa kuanza
  17. B

    Wanaotangaza nia ya Kugombea Urais mtegoni!

    Mkuu hebu naomba tuwekee yote hapa tuione
  18. B

    Wanaotangaza nia ya Kugombea Urais mtegoni!

    Atapambana na Mahiga na Makongo maana sioni kasi ya Membe wala Pinda
Back
Top Bottom