Search results

  1. J

    Kuku wa kienyeji nimda gani hutumia hadi kufikia kuliwa

    Jaman wana jf nataka kuanza kufuga kuku Wa kienyeji! sasa sijui wanachukua mda gani tangu watotolewe hadi kufikia kuweza kuliwa! naombeni msaada! wenu!
  2. J

    CHADEMA yashinda rufaa Sumbawanga Mjini

    haya sasa uchaguziii huo rushwaaa adui wa haki, haki imecheleweshwa kwa rushwa sasawamekiona.
  3. J

    CHADEMA wadaiwa kupiga na kujeruhi viongozi wawili CCM

    Hawa ni wafuasi tu wa serikali, hawajui kuwa wao wanao andika haya maneno ni wanatumiwa tu, wenzao wanakula wao wanateseka, Jaman waandishi wa hir gazeti tufuate miiko ya uandishi yani kama hatujasoma bwana. Kuna msemo husema ukiambiwa kitu changanya na akili zako si kukubar tu.
  4. J

    CHADEMA wadaiwa kupiga na kujeruhi viongozi wawili CCM

    Kwa kweli mungu tusaidie watanzania tuwe ufahamu wa kuchambua vitu, mana hizi siasa za tanzania zinatumia watu kuwadanganya wenzao, hili gazeti linajaribu kupotosho ukweli. Ila mungu ataja lipa kwa huu uongo wote mnao ufanya.
Back
Top Bottom