hahahahahahah aisee
ila mie nikinuna sitaki mtu anisemeshe......
tena huwa nakaa mbali kabisa, kama ni chumbani ntaingia nijifungie nikae huko alone nikila miziki yangu....
nataka niachwe kilichonifanya ninune nikikisahau basi hali itarudi normal....
hapana hiyo ndo imetoka...nimekwambia after4 years kwani ndo muda ajira za mkupuo za fani nyingine hutoka serikalini, ukiacha ualimu wanaoitwa kila mwaka....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.