Search results

  1. Sabode

    HABARI NJEMA: Benki Kuu ya Tanzania (BoT) yashusha riba kwa Benki kutoka 12% hadi 9%

    Hii nadhani inatokana na mkutano wa ambenki uliopita hivi karibuni na ushauri wao kwa kiasi fulani umezingatiwa japo siyo yote waliyo shauri. Kubwa walilotaka ni amana za vyombo vya serikali kuwekwa katika benki za biashara ambazo pia hazikuwa na tija kwa cunsumer.
  2. Sabode

    UTEUZI: Rais Magufuli amteua Prof. Rutasitara kuwa M/kiti wa Bodi ya TIC

    Perhaps mtazamo wangu ndo tofauti, kwa kuwa I believe in people to make changes, not otherwise. Na hii inaanza na mtu mmoja mmoja, familia, jamii mpaka taifa. Just like in computers garbage in ....... Watu wabovu mfumo mbovu it has to start with people and nothing else. That is what I do...
  3. Sabode

    UTEUZI: Rais Magufuli amteua Prof. Rutasitara kuwa M/kiti wa Bodi ya TIC

    Nimekusoma labda pengine niulize jambo hapa ili tuweke hili jambo katika mwangaza kulitafutia ufumbuzi. Kwanza: kabisa tunakubali kuwa mfumo uliopo kwa sasa ni mbovu kabisa maana unalea watu wabovu na kuwapa upenyo wa watu hao kuenda na chochote walicho iibia nchi na wananchi. Pili: ni wazi...
  4. Sabode

    UTEUZI: Rais Magufuli amteua Prof. Rutasitara kuwa M/kiti wa Bodi ya TIC

    Ukizungumzia uteuzi kuenda sambamba na kuunda mfumo, kwani hauja sikia kaagiza sheria kwa kuanzia ya madini ianze kushughulikiwa mara moja? Maana kama hiyo ndio hoja tayari kesha anza labda kama haukusikia, na maagizo alitoa kwa spika nadhani hilo pia linafanyiwa kazi. Pia mikataba yote ya...
  5. Sabode

    UTEUZI: Rais Magufuli amteua Prof. Rutasitara kuwa M/kiti wa Bodi ya TIC

    Sasa tuonge ukweli tu Chige kama sheria ya rushwa na ufisadi let's say ingepelekwa katika bunge kabla ya bunge la bajeti hivi kweli ungetaraji nini be honest japokuwa hata JPM mwenyewe yuko ccm. Mimi naona hata kama ingepelekwa ikiwa na makali inge tiwa ubutu kwa kanuni kibao za ovyo sana tu...
  6. Sabode

    UTEUZI: Rais Magufuli amteua Prof. Rutasitara kuwa M/kiti wa Bodi ya TIC

    Nakuelewa sana Chige, labda niseme jambo moja, vyevyote vile lazima uondoe watu wa hovyo hovyo ili kuweza kujenga mfumo safi. Mfumo safi unajengwa na watu safi, na kwa mifumo ya nchi nzima lazima ujipe muda kuwapata, maana wengi walio kuwa kwa nafasi za kujenga nao si watu safi. Kwa hiyo...
  7. Sabode

    UTEUZI: Rais Magufuli amteua Prof. Rutasitara kuwa M/kiti wa Bodi ya TIC

    Ili kuendelea tunahitaji a) Watu, b) Siasa safi, c) Uongozi bora. Vitu vyote hivyo vinahitaji watu safi (siyo malaika), watu safi wapo lakini lazima kuwatafuta na kama wapo wasio safi watolewe hata kama tunawapenda (mchakato huu unachukuwa muda na umakini) Na nionavyo hili linatekelezwa japo...
  8. Sabode

    UTEUZI: Rais Magufuli amteua Prof. Rutasitara kuwa M/kiti wa Bodi ya TIC

    Hata ukiletewa mfumo gani, kama watu wabovu haina maana yeyote, na kujibu swali lako kuweka watu bora ni jibu tosha kabisa, ukichukulia mfano wako kwa Elimu, ikiwa content zita simamiwa na kuboreshwa kulingana na mahitaji na wakati tatizo liko wapi? Yes ukiweka watu safi ni sawa na matokeo safi...
  9. Sabode

    UTEUZI: Rais Magufuli amteua Prof. Rutasitara kuwa M/kiti wa Bodi ya TIC

    Well wapinzani wana weza kabisa kufanya kama unavyosema (look for a slightest mistake to dilute kazi yote) lakini swali langu mimi kwa manufaa ya nani?????? Matumbo yao? Umaarufu wao? Na mtanzania jee?
  10. Sabode

    UTEUZI: Rais Magufuli amteua Prof. Rutasitara kuwa M/kiti wa Bodi ya TIC

    It sounds like the blame is on the tools, huu uliopo tu hauja kuwa exhausted kama watu ni wazembe hauta jua kama mfumo haufai ama unafaa. Kwangu mimi ninge anza na watendaji ambao ni watu obviously kabla ya jambo lolote. Hii ni kwa kuwa nikiwa na watu safi wataunda mfuma safi kwa manufaa ya...
  11. Sabode

    UTEUZI: Rais Magufuli amteua Prof. Rutasitara kuwa M/kiti wa Bodi ya TIC

    Hapo sasa nakuelewa acknowledgment ndio imekosekana. Usitaraji hilo toka mpinzani wako daima, pia badala ya kupinga ulichopigania na ambacho ungetekeleza pale ambapo umeshika dola ukiona kinatekelezwa tumia kama mtaji na kuonesha ungefanya zaidi kama ni wewe ili kutunisha mtaji wa kura usoni...
  12. Sabode

    UTEUZI: Rais Magufuli amteua Prof. Rutasitara kuwa M/kiti wa Bodi ya TIC

    Kwa lipi nijishuku, sana sana nimeandika huku nikitafuta angalao nia njema katika yale yanayo pingwa na baadhi ya watu lakini inakuwa kama hawaoni, wala hawakumbuki walicho dai. Nikitazama nadhani walitaka haya yatendeke watakapo ingia madarakani wao, ila bado hawaja ingia kwa sasa. Nakosa imani...
  13. Sabode

    UTEUZI: Rais Magufuli amteua Prof. Rutasitara kuwa M/kiti wa Bodi ya TIC

    Kitambo kabla ya JPM nilisikia kelele nyiiingi kuwa mfumo mzima unahitaji kubadilishwa. Naona JPM anaubadili mfumo mzima hatua kwa hatua walio kuwa wakipiga kelele zile zile sasa wanalaumu tena kuwa kila siku uteuzi. Auu!!!! huo mfumo ni limashine fulani nini? Au labda mawaya waya na maswichi na...
  14. Sabode

    ACACIA: Hatujafikia makubaliano yoyote ya kuilipa Tanzania

    Mara ya kwanza ilikuwa mtashitakiwa, mtanyolewa bila maji, hakuna ndege yenu itatua nje, mikataba ndo ilitufikisha hapa n.k. Raisi akasema kama wakitaka waje hapa tujadiliane, watubu kisha tunegotiate. Wamekuja wametubu na kukuri na kuongeza kuwa hata Dominica na Saudi walisha tokewa na jambo...
  15. Sabode

    IPTL Wanaomba maoni/pingamizi?

    Duuh hii imekuwa balaa tena, nilifikiri sana juu ya nini kitafuata lakini sasa naona serikali imeamua kufanya jambo, sijui itaishia wapi maana hili nalo ni sakata. Nisicho jua lililotokea lina maana gani?
  16. Sabode

    IPTL Wanaomba maoni/pingamizi?

    Ndugu wadau wa jamvi, siku chache zimepita tangu nisikie habari kuwa EWURA wametoa muda wa siku 21 juu ya iwapo kampuni ya IPTL iruhusiwe ku - renew leseni yake ya biashara ua laa! Miaka kadha iliyo pita kampuni hii ilizua mijadala moto moto kwa jinsi ambavyo mkataba wa biashara iliyo ingia na...
  17. Sabode

    ACACIA Mining PLC: We do not agree with President Magufuli Committee's findings...

    Nakumbuka jinsi wengi wa wabunge walivyo lalamikia kupitishwa sheria ya gesi kwa uharaka ule. Pia nakumbuka jinsi ulivyopitishwa kidharura ilikera na kutia mashaka sana, nadhani kwa kuwa ccm ilikuwa nguvu kulitimiza hilo wakati ule ndio maana lilipita, na hata sasa bado ccm kuna nguvu hiyo, kwa...
  18. Sabode

    ACACIA ni wezi, tukiungana hawana uwezo

    Jamani hii kazi ndo imeanza mbona wengine tunaongea kama hapo ndio mwisho? Nadhani tusubiri na ripoti ya pili, lakini kwa hii ya kwanza tuitafute yote tuisome kwa kina, labda niombe kwa wanajamvi ambao wanaweza ipata watuwekee jamvini. Hii itasaidi kuwa na mjadala wa maana na sio wa kishabiki...
  19. Sabode

    ACACIA Mining PLC: We do not agree with President Magufuli Committee's findings...

    Kwa upande wangu naona shughuli ndio imeanza. pia hapa ndani naona kuna waoga, wapo wasio na uzalendo na nchi yao wapo vibaraka, wapo wanao weka mambo haya yote katika mizania na kusubiri matokeo ya ripoti hii ya kwanza ambayo ndo kwanza yameanza. Pia wapo wanao angalia tu, na wapo ambao wanaona...
Back
Top Bottom