Jenga chumba kimoja mbali na eneo unalotegemea kujenga ghorofa ili baadae kiwe stoo au servant quarter. Ukipata hela anza kujenga ghorofa moja kwa moja na msingi wake kama mchoro/boq yako inavyoonesha
Kwa umri na heshima ya Kapuya, kuguswa na kutuhumiwa tu kwa hayo tayari hakumpi nafasi ya kuheshimiwa tena kwenye jamii! By the way, nae ulikutana nae kama Mwigulu Nchemba na kumuona ana akili sana!?
Kwenye hiyo picha wanaonekana wanafunzi wakiwa na sare za shule chini na juu wamevaa sare za CCM, na unaonekana ni muda wa masomo huo. Hivi ni lini CCM itaacha kuwatumia wanafunzi kwenye mikutano yake? na wazazi wa hawa wanafunzi wanaridhika na haya?
Boti unapandia Nyamisati ni kuanzia saa 4 asubuhi, nauli ni Tsh 10,000 na masaa 6 upo Mafia. Kufika Nyamisati unapandia gari Mbagala (uwepo pale saa 12 asubuhi na nauli ni 5,000 hivi.
Ndege zipo ni Tsh 105,000 na 120,000 one way na ni dakika 35 tu Dar to Mafia!
Karibu Mafia
Kuna ndege 2 kwenda Mafia, Coastal Aviation ndege 2 kwa siku saa 4 na saa 9 na nauli yao ni 120,000Tsh one way, pia wapo Tropical air wao ndege yao inaenda Mafia kila siku saa 4 asubuhi na nauli ni 105,000Tsh one way!
Usafiri wa boti ni kupitia Nyamisati unatakiwa kuwahi Mbagala upande gari...
Ningependa Rais Kikwete avunje vyama vyote ibaki CCM tu, maana hakuna maana ya kuwa na vyama vingi ikiwa dola, mahakama n.k. havitoa haki sawa kwa vyama vingine! Dola ishaona usipokuwa mwanaCCM basi wewe ni gaidi, jasusi n.k. Tunapoteza pesa na muda tu, ibaki CCM wafanye watakalo au vinginevyo...
Nenda Kingolwira, Morogoro kuna kituo cha Ufugaji samaki chini ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi. Wanatoa huduma ya Ushauri na pia wanauza vifaranga vya samaki
Sasa hivi ni vikumbo tu hukuo, usishangae ukikuta mzee wa kusinzia/kula mtandao aka John Komba keshakamata goma. Le Mutuz ataambulia baada ya Mwigulu nae kujilia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.