Vigogo wa TBS mapigo yapanda, yashukaBy Beatrice Moses
Imewekwa Tuesday, March 5 2013 at 00:36
Dar es Salaam. Viongozi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), jana walikumbwa na msukosuko wa ghafla baada ya bodi mpya kumn'goa aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu, Leandri Kinabo na kutangaza hatua...
Siku mbili tu baada ya Kigoda kupongezwa kwa kumtosa Ekelege pale TBS kumetokea hisia tofauti pale ambapo mkurugenzi mpya ameamuriwa kuwafanyia usaili wakurugenzi wenzake wote na kuhakikisha kuwa wale wote waliokuwa wanapinga maagizo ya waziri kumrudisha WTM kazini wanashushwa vyeo. Hii ina...
Halafu kila wakifanya madudu mawaziri anayeonekana kakosea ni kikwete wakati watu wamepewa kazi kwa heshima lakini hawaitambui heshima hiyo. ona chami anavyosota sasa
Tatizo Kigoda anataka kubeba mzigo wa miba.
Kuna mizigo na mizigo unaweza kubeba lakini sio huu.
Kijana kaishaharibu vibaya vibaya, pale TBS hakuna anayetaka kumsikia kwa aibu aliyowaletea ,
Leo unarudisha madudu yaliyopigiwa kelele na wabunge mpaka mwaziri mwenzako kafukuzwa sijui tukuelewe...
Alianza na uwanja wa ndege, kapita reli na sasa bandarini , yeye ana kata funua wezi na wazembe bila kujali vitambi vyao lakini tukumbuke ndugu zanguni huyu mzee walijaribu kumuua kwa sababu ambazo wote tunaona sasa.
Mwakyembe katimua watu na kasema anawafikisha mahakamani , hii ni mara ya...
Habari zilizothibitishwa toka ndani ya TBS ni kwamba CHARLES EKEREGE aliesimamishwa kazi ya ukurugenzi pale viwango anarudishwa kazini kuanzia jumatatu 21/01/2013.
Waziri kigoda kaamua kumrtudisha waziri huyu licha ya kashfa kubwa zilizomuandama bungeni na kupelekea waziri chami kupoteza kazi...
Mimi naona huyo LEMA na mwenyekiti wake wa london LUKOSI wameamua kuchukua hela baada ya hizo chopa na ambulance ndio maana hii mijizi ina hela sana, Au watueleze imekuaje
Habari tulizozipata kutoka gazeti la raia mwema lililotolewa leo ni kwamba waziri huyu amekatiwa mshiko wa nguvu kiasi cha kukubali kampuni iliyosababisha ekelege afukuzwe kazi.
Inasemekana kuwa baada ya kupewa kitita cha $50,000 Kigoda alisahau yote yaliyosababisha wenzake wafukuzwe kazi...
wale walio kua wanasema serengeti wamezulumu mizigo ya mafuriko wako wapi mbona mmekula kona hata kusema like mnashidwa kwa sababu criss ni chadema acheni wivu wa kizamani mnatakiwa muwe na wivu wa kimaendeleo :A S angel:
Mwenyekiti hongera sana kazi nzuri unayo fanya ya kuwakutanisha watanzania na kujadili positive things zinazo wahusu watanzania wengi wa nyumbani ondoa usiasa huyu jamaa anahitaji pongezi kwani hata kama CCM au ubalozi wetu kama wangekua wanawakusanya wa Tanzania kwa kujadili mambo yanayo...
Sikilizeni nyie mnao taka kuharibu majina ya watu wano jiltolea kwa moyo mmoja kama wewe ulikua unataka kujua kuhusu mchango wako wa mafuriko kwa nini hujawahi kuuliza hata siku moja kua mzigo umefikia wapi leo watu wanongelea mambo ya siasa unajiti aat criss maekula hela zenu na vizigo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.