Search results

  1. Kunguru Mjanja

    Kauli gani kutoka kwa mwanasiasa ilikuvunja moyo kufatilia mambo ya siasa?

    Unashika Dola halafu unatumia Dola kubaki kwenye Dola, bila Dola hurudi Madarakani ukitoka
  2. Kunguru Mjanja

    Teuzi ya Maxence Melo, ina maana gani kwa JF na wanachama wake?

    Nashangaa sana kwa namna watu wanavyodhani Melo amewekwa mfukoni kisa kuwa Mjumbe wa Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi. Watu wanasahau mapema sana Melo ndio amekuwa mstari wa mbele kabisa kupigania Ulinzi wa Taarifa Binafsi hadi kuwepo kwa sheria na Kanuni zake, kwa nafasi hiyo naamini...
  3. Kunguru Mjanja

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Data za Enzo kwenye msimu huu…ila dogo amechoka, anacheza soka msimu wa 3 mfululizo huu
  4. Kunguru Mjanja

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Pep anasema dogo aling’ang’ania kuondoka hata alipoambiwa kuwa Mahrez anasepa bado akataka kuondoka
  5. Kunguru Mjanja

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Mpaka leo Mkuu bado una mentality ya kuwa nyumbani na ugenini mbona mpira siku hizi hauna hiyo. Mtu anapigwa popote pale akikaa vibaya. Nyumbani na Ugenini ilikuwa kipindi cha miaka ya 2000, Ferguson na Mourinho walivyojijengea ngome zao. Lakini Mourinho mwenyewe siku hizi hata akiwa nyumbani...
  6. Kunguru Mjanja

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Doku alidhani anakutana na beki wa Bournemouth, matokeo yake akakutana na beki aliweza kuwanyamazisha watu kama akina Rafael Leão na Vinicius Jr. James na assist akatoa 😂😂
  7. Kunguru Mjanja

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Kwa kweli game ambayo nami nilishangaa kwanini hakucheza ni dhidi ya Blackburn lakini nikawaza labda huenda kwa kuwa tulitoka kufungwa na Brentford Kocha akaona asicheze pata potea. Maana ukweli ni kwamba Carabao ni kombe tuna matumaini ya kupata. Ile dhidi ya Wimbledon asingeweza maana...
  8. Kunguru Mjanja

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Itakuwa anamvutia kasi akae njema kwanza. Ametoka ligi tofauti sana kumbuka
  9. Kunguru Mjanja

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Huyu japo anajitahidi sana ila anatakiwa kutulia na kufanya maamuzi sahihi akiwa na mpira. Ila si mbaya msimu wa kujitafuta huu…..
  10. Kunguru Mjanja

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Sio big game. Timu inayofunguka na kushambulia, timu inayoweka low block na kutumia sucker punch bado hatupo njema. Kama nilivyosema tunajitafuta na tutajipata tu
  11. Kunguru Mjanja

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Tunajitafuta bado, subiri tujipate Mkuu. Utafurahi
  12. Kunguru Mjanja

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Nkuku, Lavia warudi….Tupate consistency, watatafutana
  13. Kunguru Mjanja

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    They ain’t ready..believe me
  14. Kunguru Mjanja

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Jamaa huwa ana game zake. Kuna game anakuwa wa moto kweli kweli
  15. Kunguru Mjanja

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Inshallah! Makosa madogo madogo sana yanatugharimu.
  16. Kunguru Mjanja

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Lakini hilo ndio soka. Muda mwingine Kocha unafanya sub ukiamini utabadili kitu. Muda mwingine unafanikiwa muda mwingine haufanikiwi, wachezaji wanatakiwa kuwa tayari muda wote. Madueke angetoa pasi na Jackson kufunga ungemsifu sana kocha. Timu inaonekana kuelekea vema, tungoje majeruhi wote...
  17. Kunguru Mjanja

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Mimi bado naamini Badiashile atamweka Disasi benchi na kwa namna Gallagher anacheza sasa naona Chukuwemeka atakuwa na wakati mgumu akirudi
  18. Kunguru Mjanja

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    The Butcher today became the meat and cooked by Salah
  19. Kunguru Mjanja

    UEFA 2021/22: Man. Utd kundi moja na Villarreal. Chelsea yapewa Juventus na Man. City kundini na PSG

    Droo ya Klabu Bingwa Ulaya kwa msimu wa mwaka 2021-22 inachezeshwa leo huko Instanbul, Uturuki kuanzia majira ya saa 5pm (BST) au saa 1 jioni (Saa za Afrika Mashariki) Timu 32 zitashiriki katika kupangiwa makundi, 26 zikiwa zimepita moja kwa moja na nyingine 6 zikitokea katika play-offs Tumu...
  20. Kunguru Mjanja

    TANZIA Buriani Paul Buchira Katamuzi - (CATAUX Computer. co)

    R. I. P Paul. Jamaa alikuwa mtu poa sana sana.
Back
Top Bottom