Search results

  1. Mjomba wa taifa

    Mauaji Mererani yafunikwa

    Siku ya jumamosi ya tarehe 29.7.2017 kulibainika kayaking ya wachimbaji wa madini wawili waliouawa kufuatia mapigano ya wachimbaji baina ya mgodi wa Tanzanite one dhidi ya mgodi maarufu kwa jina la "mhindi". Katika mapigano hayo mtu mmoja alijeruhiwa macho yake yote mawili. Asubuhi hiyo vyombo...
  2. Mjomba wa taifa

    Mark Mwandosya karibu timu ya mabadiliko

    Mzee with Mwandosya unaheshimavya kipekee nchini Tanzania. Elimu name taaluma yako watanzania wanaihitaji sana. Busara zako bad zinahitajika kuhakikisha nchi hii inapiga hatua. We we umekuwa Alana muhimu kuwakilisha watu wananchi Wa Nyanda za juu kusini. Mwandosya kujiunga kwako timu ya...
  3. Mjomba wa taifa

    Matokeo ya awali uchaguzi wa Rais, REDET inatumika

    Tangu kuanza kwa chaguzi za Rais katika mfumo Wa vyama vingi, REDET wamekuwa mstari Wa mbele kufanya tafiti na kutoa matokeo mara kwa Mara kuonesha mtizamo Wa wapiga kura juu ya mgombea urais anaepewa nafasi ya kushinda. Hali hiyo imekuwa tofauti kwa chombo hicho muhimu, achilia mbali vile...
  4. Mjomba wa taifa

    Dr, Prof. Msomi asienukuu maandiko yeyote.

    Nimejitahidi sana kufuatilia hotuba za marais mbalimbali duniani waliopita na waliopo madarakani. Zaidi ya hapo nimejitahidi kufuatilia maongezi mbalimbali ya wasomi mbalimbali duniani nimegundua kuwa katika kujenga hoja mbalimbali wamekuwa wakitumia mifano mbalimbali ya matukio ya nyuma...
  5. Mjomba wa taifa

    Aliealika wazee wa DSM kukiona cha moto.

    Ndugu wanaJF hii ni taarifa kuwa, mtu aliekabidhiwa jukumu la kukusanya wazee Wa Dar es salaam ili kwenda kujaza ukumbi Wa Diamond Jubilee kumsikiliza Rais akihutubua amewekwa kikaangoni na kibarua change kipo kikaangoni. Habari zilizopo mezani ni kuwa mzee ametaka Mara moja kujua ni nani...
  6. Mjomba wa taifa

    Aliealika wazee wa DSM kukiona cha moto.

    Ndugu wanaJF hii ni taarifa kuwa, mtu aliekabidhiwa jukumu la kukusanya wazee Wa Dar es salaam ili kwenda kujaza ukumbi Wa Diamond Jubilee kumsikiliza Rais akihutubua amewekwa kikaangoni na kibarua change kipo kikaangoni. Habari zilizopo mezani ni kuwa mzee ametaka Mara moja kujua ni nani...
  7. Mjomba wa taifa

    Asante "Michael Gorberchov" kutuulia CCM

    Kwa wale waliokuwa wakifuatilia vita baridi (Cold war) kati ya kambi ya Magharibi ikiongozwa na Marekani dhidi ya kambi ya Mashariki chini ya Urusi, vita hivi vilianza kupungua nguvu na hatimae kutoweza kabisa kufuatia kusambaratika kwa USSR. Hii ilikuwa baada ya kiongozi mmoja alieitwa Michael...
  8. Mjomba wa taifa

    Rais Kikwete, kutimua Mawaziri wezi si uamuzi mgumu

    Kumekuwa na taarifa mbalimbali toka pembe zote nchini Tanzania kuwa Rais Jakaya Kikwete anatarajia kuchukua "MAAMUZI MAGUMU" ya kuwafukuza kazi Mawaziri walitaojatwa katika sakata la ESCROW pia kuwapumzisha kazi Mawaziri wote ambao wametajwa kuwa ni Mizigo kama vile Christopher Chiza. Sidhani...
  9. Mjomba wa taifa

    Makinda apigilia msumari wa mwisho jeneza la Pinda

    Kufuatia ombi la mheshimiwa Mnyika kwa Spika Ana Makinda leo asubuhi bungeni, Ana Makinda amejibu kuwa mpaka sasa hakuna kesi yoyote iliyofunguliwa inayohusu kusimamisha ripoti ya CAG na TAKUKURU isisomwe bungeni, akishangiliwa kwa kelele na vifijo Makinda amesema kuwa hata zile kesi 10...
  10. Mjomba wa taifa

    Escrow - Tuiache PAC itekeleze wajibu wake.

    Wakati macho na masikio ya watanzania yakielekezwa kwenye kamati ya PAC inayopitia ripoti ya CAG na TAKUKURU, kumeibuka kundi linalotaka kupotosha umma kuwa kamati ya PAC imepewa hongo kupindisha ukweli. Wanadai rushwa hiyo imetolewa na upande ambao upo against Werema na Maswi unaongozwa na...
  11. Mjomba wa taifa

    Sakata la escrow na hadithi ya mtoto aliyejisaidia kwenye nguo.

    Kwa wenzangu mliobahatika kukaa karibu na watoto wadogo walio katika uangalizi wa walezi mtakubaliana nami kuwa kuna baadhi ya watoto iwapo atajisaidia haja kubwa kwenye nguo halafu akatokea mtu akamuuliza "umejisaidi?" basi yule mtoto huwa mkali na kurudi nyuma. Wakati mwingine huweza hata...
  12. Mjomba wa taifa

    Maandamano CHADEMA na Escape from Sobibor

    Naangalia picha ya zamani iitwayo Escape From Sobibor, naona mtu asie askari kasimama juu anapuliza kipenga ishara ya kuwaita mateka wote katika ngome ya kufanyishwa kazi chini ya utawala wa kijerumani. Vuguvugu limepamba moto, mateka wanatoroka kwa kukata Senyenge zenye miba mikali. Risasi...
  13. Mjomba wa taifa

    Wapiga debe wanafia nchini wawezeshwaji wanatibiwa mafua Ulaya.

    Ni jambo la kusikitisha sana na limekuwa ni ugonjwa sugu kwa viongozi wa kati wa Tanzania kupigia debe na kuwawezesha viongozi wakubwa kuchukua madaraka ya juu kwa njia zote ikiwemo wizi, ulaghai, force n.k. Viongozi hawa ni pamoja na maafisa wa tume ya Uchaguzi, wakuu wa mikoa, wakuu wa...
  14. Mjomba wa taifa

    Maandamano makubwa nchi nzima 28 April, 2014

    Inafadhaisha sana kusikia maneno makali yanayohatarisha amani ya Nchi hii yanatoka vinywani mwa viongozi waliopo madarakani. Hivi karibuni viongozi wa3 kwa nyakati tofauti wametoa kauli zinazohusu utumikaji wa Jeshi la wananchi kupindua serikali iwapo bunge litaidhinisha muundo wa muungano wa...
  15. Mjomba wa taifa

    Maisha nje ya ccm yanawezekana

    Nimefatilia kwa makini sana wachangiaji wa bunge maalum la Katiba nimegundua wengi wamekaririshwa maneno ya kusema kama ngonjera. Ikitokea mmoja wao amekatizwa ghafla utaona anavyopata tabu kurejea kwenye sentensi aliyokuwa nayo. Kwa kugundua hilo mwenyekiti wa bunge ameambiwa na viongozi wa juu...
  16. Mjomba wa taifa

    JK Fukuza hawa ustaafu na sifa kama Mwinyi

    Nchi hii imeingia katika historia ya Uongozi mbovu kuliko vipindi vingine vyote vilivyotangulia. Hali hii imechangiwa kwa kiasi kikubwa na madaraka makubwa waliyopewa baadhi ya viongozi ambao wameshindwa kuwatumikia wananchi na hata mamlaka iliyowaweka imeshindwa kuwakemea wala kuwaondoa. Mfano...
  17. Mjomba wa taifa

    Kuvunjika mchakato wa Katiba tusisikie ya Mabwepande.

    Kumekuwa na kasumba ya tabaka fulani kutumia mbinu chafu pale linaposhindwa kwa hoja. Mbinu hizo ni pamoja na kutumia vyombo vyote ilivyonavyo kulazimisha matakwa yake. Ni wazi kuwa hakutakuwa na Katiba mpya kwa mwaka huu, hivyo basi tabaka la juu msitumie mbinu zenu chafu za "bora punda afe...
  18. Mjomba wa taifa

    UKAWA msisahau Mabwepande kwa Dr. Ulimboka.

    Nawakumbusha wajumbe wa UKAWA suala zima la kuwa makini na kuchukua tahadhari ya hali ya juu sana kwa maisha yao kwa kila dakika ipitayo, tusijesikia ghafla habari za kutekwa, kusulubiwa, kunyofolewa kucha, kung'oana meno pasipo ganzi na hata kuokotana Mabwepande. Maana wale jamaa zetu si wa...
  19. Mjomba wa taifa

    Wasomi wa Tanzania lipeni fadhila kutupatia katiba bora

    Mchakato wa kutafuta Katiba mpya ya Tanzania ni wazi kuwa umeshikwa na kutawaliwa kwa asilimia kubwa ya watu wasikuwa na taaluma inayoweza kupambanua hoja na kufikia muafaka pasipo kupaza sauti. Wengi wao wamesikika wakitoa maoni na kupigiwa makofi na kushangiliwa kama majuha. Nasikitika sana...
  20. Mjomba wa taifa

    Tume Tatu za Maoni ya Wananchi....... Inatosha.

    Naanza kwa kuweka msimamo kuwa lengo si Serikali ngapi zinafaa kuundwa nchini Tanzania, hata kama kila mtu awe na Serikali yake ikiwa tafiti za kitaaluma zitatoa majibu hayo. Baada ya azimio la kupata Katiba mpya kupitishwa na hatimae Rais kuteua wajumbe wa kutengeneza Rasimu ya Katiba kwa...
Back
Top Bottom