Search results

  1. Jini mtuu

    Nilivyopewa masharti na Majini

    Naitwa Mohammed bin issa. Limo.(ubini) Mshangao wa jina la ukoo huu sio wewe to unae shanga kila Alie kua na elimu ya tafasiri ya majina na asili yake aliniuliza maswali . Imekuaje wewe unaitwa limo wakati jina lako na baba yako wote inaonekana ni waislamu ..?? Au baba yako alibadilisha...
  2. Jini mtuu

    Tujifunze uwekezaji huu kutoka kwa Rais Samia

    Sote tunajua jinsi ambavyo imekuwa vigumu kwa watu wetu nchini Tanzania kupata maji safi ya kunywa na shughuli nyingine za nyumbani. Kumekuwa na ahadi nyingi kutoka kwa wanasiasa, na mengi yamefanyika kupunguza tatizo la maji nchini Tanzania, lakini kwa bahati mbaya, hakuna mengi ambayo...
  3. Jini mtuu

    Jinsi ya kuukaribisha umasikini

    JINSI YA KUUKARIBISHA UMASKINI 1. ENDEKEZA USINGIZI Kamwe usiamke mapema, endelea kulala na kujinyosha mpaka pale njaa itakapokuuma. 2. USIPANGILIE MATUMIZI Kamwe usipange jinsi ya kutumia pesa zako, wewe zitumie tu pale unapozipata. Na zikiisha kaa chini na jifikirie umezitumiaje. 3. USIWEKE...
  4. Jini mtuu

    Mambo 10 ya binadamu wasio na imani kumuhusu Mungu

    1. MAFANIKIO Hapa mtu anaeza sema amelogwa au ameibiwa nyota. Kama ni kazi anapata lakini haidumu na kama itadumu basi atachukiwa kazini na viongozi basi atapendwa na wafanyakazi wenzake. Watampenda kwa sababu ataonekana mjuaji na kweli watu wasio na imani mungu huwapa kipawa cha kua na akili...
Back
Top Bottom