Poleni na majukumu ya kila siku wakuu.
Bila kupeteza muda niende moja kwa moja kwenye mada.
Kuna kitu kiko ndani yangu kati ya mgongoni na katikati ya kifua, kinanikula kila kila wakati nnapojaribu kutulia mahali. Yaan kama kitu kinakwangua lakini hakiishi. Embu nisaidie mawazo yenu wataalam.
Nilipozaliwa nilitamani siku moja niwe na familia yenye Amani furaha na upendo lakini vyote hakuna badala yake, Mwanamke hanifulii anapika Chakula hanipi, Anaenda mbali na tulipo haniambii.
Halafu ananiambia anataka tufunge ndoa. Kweli?
Nimfanye nini huyu mwanamke?
Machinga wanaondolewa barabarani wanalalamika tu, Kitu ambacho hawakijui ni kwamba kinachowaondoa ni kanuni za maisha.
Kanuni za maisha ni ngazi ambayo kuipanda ni lazima uanze kukanyaga ngazi ya kwanza, sasa machinga wa Magufuli wanataka kukanyaga ngazi ya kumi na mbili kutoka ngazi ya kwanza...
Habari wanajamii.
Usiku wa kuamkia leo, mida ya saa saba nilikua nimelala zangu, mara ghafla kelele za mlango zikanishtua kutoka usingizni, mlango unagongwa nikashindwa nifanye nini maana siyo kawaida..kama mara tano sita... akaacha kugonga na mimi nina kawaida yangu kama mtu anagonga mlango...
Wanajukwaa kama kuna tafsiri zingine ambazo mpaka hii lewo, sijawai kuzielewa vizuri, Moja wapo ni hili la Adam kula tunda la mti wa katikati, tunda ambalo Mungu alimkataza Adam kuwa asilile.
Je hili tunda ni tunda gani? Je nikienda sokoni hii leo nitaweza kulinunua?
Ufafanuzi wa kina.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.