Hii nimeishuhudia jana wakati nasafiri kuja Mwanza kwa basi nikitokea Dar ambapo barabara kati ya Shinyanga na Ilula kuna tuta kila baada ya mita 200 kiasi sasa imewalazimu madereva wote Wa mabasi kurejea barabara ya zamani ya kupitia Old Shinyanga ambayo ni ya vumbi ili kuepuka kero hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.