Habari wanajamvi,
Kama headline inavyojieleza:
Leseni ya udereva ya
SAIDI ATHUMANI MCHEVU
Yenye namba 4000421056
Yenye madaraja A, A2 , B, D, E
Imeokotwa maeneo ya Zakhiem, karibu na kampuni ya SINO HYDRO inayojenga barabara ya mabasi ya mwendokasi BRT PHASE II.
Kwa yeyote anayemfahamu...
Habari zenu wakuu?
Kuna jambo limekuwa linanitatiza kwa muda mrefu sana, hasa inapokuja kwenye suala la mikutano au hafla za kiserikali, taasisi au hata siasa!
Nchi yetu inafahamika kwa kufuata Sera ya secularism, yaani nchi isiyofuata dini rasmi, nchi ambayo kila mwananchi ana imani yake...
Habari zenu wana Jamii forum, kwaheshima na tahadhima, naomba kujitambulisha kwenu kwakifupi tu, Mimi ni member Mpya ambaye hata hivyo nilikuwa naperuzi Jf pasipo kujisajili rasmi,
Natumai nitapata ushirikiano Mzuri kutika kwenu, shukrani wakuu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.