Kuna hawa madem kama watatu hivi,tunalink fresh kabisa na wakikwama mambo madogo madogo nawasupport ila linapokuja suala la kuniletea mbususu geto wanakua wajanja kweli!
Namimi nikaamua kuchange gear angani kimya kimya,nikakata mazoea kabisa toka mwezi wa 12 nikaacha kabisa kuwapa attention...
MUNGU anapomweka mtu katika wakati mgumu, tunaita majaribu na MUNGU halaumiwi bali anatukuzwa, lakini mtu anapomweka mwingine katika wakati mgumu, inaitwa usaliti na mwanadamu analaumiwa na kuchukiwa milele.
Mume akichepuka, mke samehe mgange yajayo.
But mume never usije kufanya kosa la kusamehe mkeo akichepuka.
Mwanaume anachepuka kwa sababu tofauti kabisa na zinazomfanya mwanamke achepuke
Mwanaume anachepuka sababu ya Tamaa wakati mwanamke anachepuka sabau ya ku-replace/upgrade.
Mwanaume...
Kitu nilichojifunza kwenye maisha yangu kikubwa.
"Kuna watu watakudharau hauna kitu cha kuwapa kipya maishani mwao kwasababu wanajiona wamekuzidi elimu/pesa. Usiumie moyo endelea kujifunza utapiga hatua siku hadi siku, endelea kufanya kazi, UZOEFU, UTAKUJENGA utapata watu watakao kuskiliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.