Hellow wapendwa ,
Poleni na majukumu ,
Nahitaji mwanaume aliyeserious ambaye mahusiano yetu yatapelekea ndoa , awe mkristo wa dhehebu lolote , umri 36-50 (naomba umri uzingatiwe ),awe mrefu mana mie mrefu na mnene kiasi
Mimi nina 33yrs, mkristo, sina mtoto, elimu form four ninaishi dar
Ps...
Hellow wapendwa ,
Poleni na majukumu ,
Nahitaji mwanaume aliyeserious ambaye mahusiano yetu yatapelekea ndoa , awe mkristo wa dhehebu lolote , umri 36-45 ,awe mrefu mana mie mrefu na mnene kiasi
Mimi nina 32 yrs, mkristo, sina mtoto, elimu form four ninaishi dar
Ps. Mwenye VVU tu
Karibu PM...
Hellow
Nimeona huko watu wanafarijiana ohh kama wewe ni HIV + na unatumia ARV basi hupati corona
Yani tufatishe vile tunaelekezwa na wizara ya afya
Kuna wenye HIV na wanameza ARV na bado kinga zipo chini mnoo
Na kuna ambao ni HIV+ na hawatumii ARV na bado kinga zipo juu sasa sioni sababu ya...
Hellow wapendwa poleni na majukumu ya siku nzima ya leo,,,
Nitashare nanyi baadhi ya aina ya vyakula/ tiba lishe ambavyo(yo) mimi huvitumia ,/nisivyovitumia;
1.sili ugali /wali/(vyakula vya wanga vyote)
Ila nacheat kidogo kwenye ndizi[emoji7]
2.sili mkate/andazi/vitumbua(vyakula vyote vya...
Ni jioni tulivuuuu kabisa , baada ya mihangaiko ya hapa na pale ni muda sahihi wa kumshukuru Mungu kwa kuiona jioni hii salama kabisa
Njoo tuzungumze, ukagundua mkeo/mumeo/mpenzi wako anaiUpungufu Wa Kinga na wewe huna ,Je utafanya maamuzi yapi?
Kuendelea nae?
Kumwacha?
Kusitisha tendo la ndoa...
Naimani mko poa kabisa
Kiufupi tu;
- Jinsia KE
- Umri 32
- Sijazaliwa nao
- Sijawahi kutumia ARV
Niende moja kwa moja kwenye swali langu, hivi ni kwa nini kwenye jamii yetu ukishawaambia "NINA UPUNGUFU WA KINGA MWILINI " asilimia kubwa wanapatwa na taharuki, hofu, kunyanyapaliwa, kuzodolewa...
Hellow,
Nimeishi na VVU huu ni mwaka wa 12 sasa sijawahi kutumia ARV's.
Naona kuna wanaoombewa kanisani kisha wanaotoa ushuhuda kwamba wamepona VVU.
Je, nanyi pia mmeshawahi kusikia? Kuhakiki? Mfano: unandugu ambaye kweli alikuwa hivyo akapona?
Ama namna yoyote ile ya kuprove kweli uponyaji...
Hellow guys, baada ya kuwa msomaji nisiye rasmi sasa nimeamua kujiunga nami Jf ,mnipokee ,na mniongoze vyema nawapenda ..
Jinsia yangu ni KE"
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.