Hii ikikutokea utafanye!!
Ndio kwanza umemaliza kufanya mapenzi
Kisha huyo mwanamke, Demu , anakwambia, "sorry Nina ukimwi, nilishindwa kukuambia mapema, nilizidiwa na hamu"
Wakuu heri ya sikukuu ya Pasaka,
Kuna ndugu yangu alikuwa mzima wa afya, baada ya kuumwa Malaria,kutokana na zile dawa alizotumia, masikio yameziba. Katika kuhangaika kumtibia ndio nasikia kuna kifaa jina hearing amplifier, inafaa nimnunulie.
Sasa msaada wa kitaalam nahitaji, pia ni wapi naweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.