Niko Iringa mjini, mwenyeji anisaidiae kijiji kikubwa kilichochangamka na network ya Tigo iwe inapatikana.
Naomba kujuzwa nauli ya Daladala na kiwe njia ya kwenda Dodoma ila ndani ya mkoa wa Iringa
Ni historia ya kweli niliwahi kuishi na kaka karibia miaka mitano tukaja kutofautiana baada ya kaka kuoa. Kaka ni mwenyeji wa Tanga na shughuli yake ya mwanzo uvuvi aliendelea nayo hata alipo sa sa Unguja kiembe samaki the baadaye akafungua duka akaachana na uvuvi alipo fungua duka LA pill akaja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.