Search results

  1. ibra da kibra

    Kwa wale tuliosoma St. Kayumba mnakumbuka haya?

    1.Unaenda shule umechelewa unakuta mwalimu anakamata wachelewaji unaamua urudi nyumbani 2.Unachukua kimbegu cha ubuyu unasugua sakafuni af unamuunguza mwenzio 3.Mkiruhusiwa tu unakimbia unataka uwe wa kwanza kwenye njia yenu y kurudia nyumbani 4.Mtu akikukera unamfungia shule (mnapigana baada...
Back
Top Bottom