Search results

  1. Bottas

    Rais Magufuli alichukua hatua mzuri ya kutofunga uchumi Tanzania

    It's Only a fool that doesn't change his mind, hapo mbeleni nilimponda Magufuli kwa jinsi alivyo handle hii pandemic ya Corona lakini sasa naona he was right all along; huu ugonjwa hauathiri Afrika Kama vile nchi za uzunguni,kwa Africa ni Kama homa tu. Mfano angalia nchi Kama Somalia South...
  2. Bottas

    Wale wakusema Tanzania inalisha Kenya

    Baadhi ya wabongo wengi wasiokuwa informed kina joto la jiwe@geza ulole etc wanaishi wakisema Tanzania inalisha Kenya kwa kila kitu. Swali langu ni juu Kenya ilifunga mpaka mwezi ulio Isha tunakula mawe?maisha ina endelea kama kawaida huku na mwenye hela chakula kiko kingi. So next time you...
Back
Top Bottom