Hi?
Greenhouse Tanzania ni wataalam wa ujenzi wa wa greenhouse na mifumo yote ya umwagiliaji. Pia ni wataalam wa kilimo na hutoa ushauri juu ya kilimo na changamoto zinazompata mkulima. Pia husaidia kutafuta masoko ya mazao.
Ghalama zetu ni nafuu sn na tunafanya kz nchi nzima.
Kwa mfano...
Jamani niacheni nione raha na utamu wa kumpenda mpenzi wangu. Yani najihisi raha isiyokifani mpk nashindwa kua na ufahamu niseme kipi na kipi nisiseme.
Nitoe swali tu Kwa vijana wenzangu. Mtu akikuukiza hili swali. What does woman need the most in relationships? Utajibu nini?
Kan'tangaze...
Kiongozi wa dini kama atakuwa mfungwa wa mfumo hataweza kumwakilisha Yesu au dini yake bali ibilisi, kiongozi wa dini anapaswa kufanya haki na si kukaa upande mmoja. Taifa linapaswa kujifunza maarifa kwake ‘’Kwa maana yapasa midomo ya kuhani ihifadhi maarifa, tena yawapasa watu kuitafuta sheria...
Sahivi mataifa karibu yote ikiwemo Tanzania macho yao yapo Yerusalemu hasa baada ya tamko la Trump kiongozi wa taifa kubwa duniani kuutambua mji wa Yerusalme kama mji mkuu wa Israeli, kwanini kunatahuruki hiyo? Fatana nami kwa uchambuzi wa kina dhidi ya mji huo wa kale.
Yerusalem ni mji mkongwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.