Search results

  1. kikokoti

    Mwanamke kutokukujibu unapomtongoza

    Habari zenu wakuu, Nielekee kwenye mada, nimekuwa nikimtongoza mwanamke kwa muda mrefu sasa lakini amekuwa hanijibu, mara nyingi huwa tunapiga stori za kawaida lakini nikifika sehemu nikiingiza mada ya mapenzi hukaa kimya pia hunipotezea kwa muda wa siku tatu hadi wiki kama sijamuanza...
  2. kikokoti

    Kama simu yako ni original chora huu mstari

    ________________________ _________________
  3. kikokoti

    Mara tu ulipojitambua...

    Nauli yako ya kwanza kulipa kwenye daladala ilikuwa shinngapi, na ulikuwa ukielekea wapi?
  4. kikokoti

    The return of special coach

    Kati ya miaka ya 1993 hadi 1994,95,96, kuna jamaa alitamba sana kuwalaghai mabinti na kuhakikisha anakufa na wengi, . . . Special coach alitumia pesa nyingi kuwaambukiza wadada ukimwi. NB. kwa kipindi hki cha magufuli ukiona mwanaume anatumia pesa nyingi kwaajili ya kupata papuchi ucjione una...
  5. kikokoti

    Dakika 45 simu ya mpenzi wangu inatumika

    Hii imekuwa kawaida sana nikimpigia inatumika na hata akipokea majibu yake ya mkato mkato, simuelewi kabisa ananikondesha sana maana kuna wakati hadi hamu ya kula inapotea sijui nifanyaje. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. kikokoti

    Kodi ya meza ikiwa ndogo hatari kwa ndoa yako

    Wakuu nimehamia makazi mapya halufu ya chakula kizuri hunukia kutoka kwangu, na Kila ninaporudi kutoka kazini ckosi vpaseli. Hadi kufikia leo hii nishaombwa namba yangu na weke za watu kama 6, nasubiliwa mm tu niliamshe shetani Sent using Jamii Forums mobile app
  7. kikokoti

    Nimeibiwa kiswaswadu changu

    Wauni sio poa kabisa Yaani, kilikuwa kinanifariji Sent using Jamii Forums mobile app
  8. kikokoti

    Ulimwengu umeniendea kombo

    Wakuu Uchumi wangu umepolomoka Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom