Search results

  1. Escoter

    Ni kweli kuna Watu wapo kwenye mahusiano na hawachepuki?

    Habari za majukumu waungwana wachache mliobarikiwa kuiona siku hii ya leo.. Hivi ni kweli kwamba kuna watu wapo kwenye mahusiano na hawa cheat (hawachepuki) yan both of them are totally committed to each other? Ukiachana na masuala ya imani ni vitu gan vinazingatiwa kufikia mke akawa ha cheat...
  2. Escoter

    Hivi bila hizi kondomu dunia ingefika wapi?

    Habari zenu wanajamii forum.. Nilikuwa nimekaa sehemu kwenye pub fulan jijin dar, nikaona kasi kubwa ya vijana wanaokuja kununua condoms japo wao wanaziita majina tofauti tofauti nikajisemea mwenyew hivi dunia hii bila condoms maisha yangefananaje? Haukupita muda akaja kijana ambae muonekano...
  3. Escoter

  4. Escoter

    Wanaume wanene na uwezo kitandani

    Habarini wana JF, Kumekuwa na dhana mbalimbali kuhusiana na ufanisi mdogo wa mwanaume mnene kwenye suala zima la mapenzi. Wanaume wanene wamekuwa wakiwekwa katika kundi la watu dhaifu kwenye suala zima la kumlidhisha mwanamke kitandani. Wanasayansi wanasema "no research no right to speak" i...
Back
Top Bottom