Search results

  1. L

    Chumba na sebule

    Habari... Wadau natafuta chumba na sebule mitaa ya survey, mwenge au mikocheni maana nafanyia kazi mitaa hiyo... Bei ya pango ya nyumba nitakayoimudu ni kati ya tsh.80,000-120,000/= kwa mwezi. Maji yawepo pia. Ni- pm kama unaweza kunisaidia, nina uhitaji sana wadau asanteni
  2. L

    Vitabu vya kuelimisha jamii

    Habari wadau wa JF...! Niende kwenye mada moja kwa moja, Mimi ni mtaalamu wa masuala ya utafiti. katika tembea tembea yangu hapa nchini na kwingineko nimegundua kuna uhaba wa watu fulani kupeleka ujumbe fulani kwa watu fulani ili kuisadia jamii fulani au kundi fulani katika kuacha kufanya mambo...
  3. L

    Crime scene investigation

    Habari wadau, Jana muda wa jioni nikiwa pale ubungo mataa, kuna gari ilikuwa inatoka kimara na kuelekea manzese huku ikipiga king'ora kama vile ambulance. Lilipokaribia pale mataa nikaona limeandikwa ubavuni kwa maandishi makubwa CRIME SCENE INVESTIGATION. Nikaanza kujiuliza maswali mengi...
  4. L

    Graduate kilimo camp

    habari wadau!!! napenda kuwataarifu wadau wapenda maendeleo wote kuwa mimi na wenzangu(tupo7 sasa) tupo kwenye NGO iitwayo vision saccos. Sisi tupo morogoro vijijini-Dutumi village na tumepata ekari kama 500 japo tunaweza pata zaidi hata elfu 2. Kama vijana tulijipanga tuanzishe kambi ya vijana...
  5. L

    Bei ya Video Shooting - Msaada tafadhali

    wadau habari... Naomba msaada wa kujua bei ya video shooting camera kama za maharusin au sherehe sio zile ndogo za nyumban...plz kwa anayejua jamani anielekez au anitajie bei hata estimate. Nimehangaika k/koo jana bila mafanikio
  6. L

    Hawana vichogo

    sina haja ya kuleta mada hii kiuchonganishi... laa ila ninataka kujuzwa jambo...nina jamaa yangu mpemba hapa amenipa mpya kwa kusema ukitaka kumugundua mzenji basi muangalie kisogoni. Anasema kiasili wao hawana visogo kwa sababu kuu mbili alizonipa,mosi anasema wakiwa wadogo wanapakwa mafuta ya...
  7. L

    Natafuta sehem ya kuvoluntia/ajira

    mimi nina diploma pia ni graduate wa statistics at udsm. Nina uzoefu na kazi hizi za data analysis and management. Pia nina uzoefu wa monitoring and evaluation of projects. Kwang mm kuvoluntia au ajira yote heri maana naona kipaji kinapotea. Wadau tusaidiane
  8. L

    Siku ya takwimu afrika

    Tanzania leo kupitia ofisi ya taifa ya takwimu imeadhimisha siku ya takwimu afrika. kwangu mm nilichoona ni wajanja tu kugawana salio kwa ajili ya krismasi na siyo kuendeleza takwimu za ndani. Kwa nchi ziliendelea takwim zimepewa uzito wa hali ya juu sana kiasi kwamba asilimia kubwa ya raia wake...
  9. L

    SULUHISHO: Wenye pesa ila hawajui wazifanyie nini

    Habari wadau wa jf. Mimi ni mgeni hapa mjengoni na hii ni post yangu ya kwanza. Nimefurahishwa na utaratibu wa wadau wa jf wa kupeana mawazo na ushauri katika nyanja mbalimbali za maisha ili kuendeleza gurudumu hili hapa duniani. Mimi nimekua nikiwaandalia watu(business people/academicians...
Back
Top Bottom