Search results

  1. S

    Bei za Majengo ya Serikali yalioyopo Dar

    Hivi sirikali ishafanya evaluation ya majengo yake yaliopo Dar na kujua thamani yao? Naming TBA (Tanzania Building Agency) wanaweza kupewa tenda ya kufanya commercial valuation ya haya majengo. Swali langu je majengo ya wizara na idara mbalimbali za serikali hapa Dar yanaweza kufikia kiasi gani...
  2. S

    Kimya kuhusu wastaafu hewa

    Hivi mshawahi kujiuliza kuwa iweje tuwe na wafanyakazi hewa halafu tusiwe na wastaafu hewa kama vile Polisi na kwingineko? Bona hili la wastaafu hewa waziri wa kazi hataki kuliongelea?
  3. S

    Watu wanazidi kujitoa NSSF, kulikoni?

    Hivi nini kinaendelea NSSF? Leo nilikuwa ofisi yao ya Ilala wanachama wamekuja wanataka kutoa pesa zao. Je, kuna uwezekano kuwa NSSF inaelekea kufilisika kama PSPF? Kwanini serikali isiunganishe hii mifuko na pia kuruhusu Private Pension Plan badala ya mambo ya kulazimishwa kuingiza pesa...
  4. S

    Mambo 3 ambayo Rais Magufuli anatakiwa kuyazingatia

    1. Rule of Law (tunahitaji enforcement ya sheria zilizopo na hakuna sababu ya mafisadi. Mahakama na sheria. Judiciary yetu inahitaji reforms kubwa mno) 2. Investment kwenye Energy (sasa hivi umeme wetu ni Megawati 1500 hivi na population yet ni watu million 50 sasa kama tuko serious tunahitaji...
Back
Top Bottom