Search results

  1. Kasheshe

    Mnyaa: Acha kurudisha taifa nyuma!!!

    Practically haiwezekani kuwa na printed document for each electronic money transfer... Receipt ziendelee Kuwa electronics... Acha kurudisha taifa nyuma kwa miaka 10. Mambo ya electronics waachie watu wa digital... Mh. Mbarawa ukikubali hili ujue hiyo sheria haitatekelezeka.
  2. Kasheshe

    Bunge: Tundu Lissu is misleading

    Tundu sheria mpya haizuii vyombo vingine kumshauri Rais please. Ila inasema waziri yeye kwa upande wake ajiridhishe before advising president. Ni aibu mnakaa Bungeni hamskilizani who say what? unfortunately Zitto naye aliingizwa kwenye mtego... Simply Rais hafungiki kuchukua ushauri...
  3. Kasheshe

    Bunge la jamhuri: Kumbe inawezekana kufanya kazi mpaka usiku?

    Kipindi hiki nimejifunza kwamba yale mazoea ya kifisadi ya kutomaliza ratiba za bunge za siku....ati kwa kusema wanaongeza nusu saa tu ni uvivu tu... inawezekana Bunge kufanya kazi mpaka usiku wa manane... na inaezekana wabunge kupewa 5mins na bado wakato michango ya in fact kupewa dakika 15...
  4. Kasheshe

    Statement za CAG, TAKUKURU zote sio conclusive

    Zitto Everything you quoted once more kwenye majadiliano...sio CAG, TAKUKURU, TRA wali-conclude kwa hakika beyond doubt kwamba zilikuwa za serikali... Hakuna sehemu hiyo kwenye report ya CAG. Aliyonayo hiyo sehemu ambayo imesema TRA, CAG, TAKUKURU wame-dhitisha in writing kwamba hizo hela ni...
  5. Kasheshe

    Pinda vs Lowassa vs Sumaye - Ufanisi katika kuongoza sekta ya Elimu iliyo chini ya TAMISEMI

    Naomba kutoa masikitiko yangu makubwa sana juu ya Mh. Pinda kushindwa kumsaidia Rais kwenye suala la Elimu. Ni muhimu kwanza kuweka wazi kwamba shule za msingi na sekondari ziko chini ya TAMISEMI, wizara iliyochini ya Waziri Mkuu. Hivyo majukumu ya mambo ya shule za Msingi na Sekondari yako kwa...
  6. Kasheshe

    KATIBA inayopendekezwa: Serikali kuu inaishia Mikoani!

    Wakuu wa wa wilaya bye bye! Wilaya zitakuwa chini ya serikali za mitaa!
  7. Kasheshe

    Waandishi wa Habari Nisaidieni

    Hivi bila jacket AU kitu kilichowazi kinachoonyesha huyo Ni PRESS sio Kibaka Polisi watawatambua je? Yaani Kwenye vurumai ndio waulizia identity Kadi... MIMI naona waandishi muna WAJIBU wakuwa na vitambulishi vilivyowazi Kwa mtu yeyote!
  8. Kasheshe

    Kingunge awa kinara kwenye Katiba

    For the first time Kingunge apendekeza jambo zito kwenye katiba... Yaani kuwe ibara inayozungumzia mwelekeo wa TAIFA kiuchumi... Mzee Kingunge this is what I was missing for so long ... Thank you
  9. Kasheshe

    Swali: Bunge la bajeti ya matumizi?

    Jamani ingawa Bunge lina mamlaka ya kujadili na kutengeza bajeti [MAPATO na MATUMIZI]: hili la kwetu limekuwa kujadili matumizi tu, wachache sana wanazungumzia mapato na Mbinu za kutafuta vyanzo!!!! Alafu ati Wananchi wanaamini waBunge shujaa ni wale walalamikaji sio watoa majawabu!!!! Hakuna...
  10. Kasheshe

    Wizara ya Afya: Wapi maagizo ya kupiga dawa ya wadudu kwenye nyumba/magari public

    Ukipanda ndege za kwenda nchi Fulani unaambiwa tunapiga dawa kwa utekelezaji wa mamlaka ya nchi Fulani... Nauliza Kwa nini wizara hailazimishi upigaji wa dawa ya kuua wadudu Kama Mbu Kwa nyumba zote za public including office building, hotel, magari ya abiria etc? Kwa wakati huu tukiwa na...
  11. Kasheshe

    MUUNGANO:nani wa kusikilizwa!!

    Wafuatao ndio Watu ambao naweza kuwasikiliza kuhusu Muungano 1. Dr. Shein amekuwa makamu wa Rais wa JMT na Rais wa SMZ 2. Ndg. Vuai Nahodha amekuwa waziri Kiongozi na waziri wa JMZ kamq kuns changamoto hawa na wengine wa namna Yao ndio watakuwa wanaelewa vizuri! Pande zote...
  12. Kasheshe

    MUAFAKA: Tuahurishe kujadili Suala la Muungano Kwa miaka 5-10 Zaidi!

    Kwa maoni yangu; Tuahirishe hili la Muungano for the next 5-10 years! Tuendeleee na vdi fungu vingine!!! Asante. Tukubaliane kutokukubaliana tusonge mbele! Najaribu kuepuka kukosa katiba kabisa hence loose-loose situation!!!! Yaani Kubaki na katiba ya 1977!!! Wakati tuki-maintain current...
  13. Kasheshe

    Katiba: Tuunge mkono umoja wana Bridge

    Naanza Kuona mwanga kwamba huenda hawa vijana wenzetu wakawa ndio watakasaidia kupata katiba au kukwamua hawa wana "Tanzania Kwanza" na "WanaUkawa". -Zitto, -Kigwangwala -Maria -Halima, etc .... Go go go
  14. Kasheshe

    Soma Kwa makini matumizi mabaya ya hela za Waafrika

    katibu usome Kwa makini matumizi mabaya ya hela za walipakodi wa serikali za kiafrika Every day is party time in government offices ===============================================
  15. Kasheshe

    TAMISEMI ni Wizara au ni Serikali?

    Sio haki TAMISEMI Nzima kuwa chini ya waziri wa kawaida anaye-report Kwa waziri Mkuu!!!!! TAMISEMI inahitaji kuongozwa na mtu ambaye Ana mamlaka ya karibia waziri mkuu na anatakiwa ku-report Kwa Rais Direct! Na waziri Huyo awe na mawaziri wote ambayo wanashugulikia mambo ambayo yamegatuliwa e.g...
  16. Kasheshe

    USHAURI: Tupaki hili muundo wa Muangano Hadi 2020

    Ni ukweli ulio wazi kwamba TAIFA halijajianda kumpokea, mtoto aliyekufa au Alitekwa msukule a.k.a Tanganyika na sasa anategemewa kurudi au kuzaliwa Kwa Mara ya pili. Ni busara tukajadili ibara zone nzuri ila pia kuu maintain status quo. Tukiendelea kujadiliana tukae vipi for the next 5 years.
  17. Kasheshe

    Makao makuu ya Jamhuri ya Tanzania yawe Morogoro

    Napendekeza makao MAKUU yawe katikati ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Morogoro! Iwekwe Keene katiba vichaa wasije ipeleka mafia.
  18. Kasheshe

    Katiba: Rais wa Jamhuri asichaguliwe direct na wananchi

    Kwa ilivyo kwenye rasimu zote, mambo ya Muungano sio mambo ambayo yanamgusa mwananchi direct, na pia sio mambo ambayo Wananchi wa kawaida wana-ujuzi nayo! Hivyo si sawa Wananchi wenyewe direct wachague Rais wa Jamhuri. Napendekeza Rais wa Jamhuri na makamu wake wateuliwe na wajumbe wa baraza la...
  19. Kasheshe

    SHAKA: Usalama wa viongozi wa Taifa na Chopa za Polisi!!!

    Mungu tupilia mbali sina Imani na usafiri wa Chopa za Polisi kumbeba raisi wa nchi, waziri Mkuu etc. Kumbukeni Kenya ilimpoteza waziri wake wa mambo ya ndani na naibu wake. Tanzania government Fright Agency nunueni haraka sana Chopa za kubeba viongozi wetu, hasara za huo uzembe ni kubwa sana.
  20. Kasheshe

    Somo kutoka Kenya: Kubana Matumizi ya Serikali

    majirani zetu l wanaenda mbele kwa kasi kwa kila jambo! 1. No business class travel for public officers. 2. No public seminar on 5 star Hotel... either done on own institution meeting room or other public institution conference room. This start with immediate effect nyinyi hapa or watoto wa...
Back
Top Bottom