Kwa anae jua kuhusu hizi printer za Epson M2140 Naombeni msaada juu ya utendaji kazi wake. Bei nimeona ni reasonable ila speed yake na ubora wake ndio cjui na pia mwenye anajua printer ya chin ya 750k yenye uwezo wa kutoa copy nyingi.
Ni kweli kwamba ile kampuni ya magari na zawadi nyinine ndogo ndogo ya japani inayoitwa CAR FROM JAPAN inatoa zawadi kwa watu ambao watashiriki katika shindano linaloendeshwa na kampuni hiyo lengo la kampuni hii ni kupanua soko lake na hii ndio strategy walioitumia ya kuwazawadia washindi magari...
kwa mambo mengine ya kimicheza gonga au click hapa TANDIKA MIKEKA . huku utaona vitu kama ubashiri wa mechi kwa kila siku, ratiba za mechi pamoja na tetesi za usajili
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.