Kwanza nachukua nafasi hii kwa ajili yako MSHUA,sikuvunjii heshima ila nakupa ukweli wako.
Kwa jinsi nijuavyo familia ndio taasisi kubwa katika malezi ya kimwili na na kiroho,na ikitokea familia ikashindwa kulimudu hili,basi tarajia tafrani kubwa miongoni mwetu kama wana familia.
Familia...
WaTanzania alieturoga ashakufa,tupo tunajitilisha huruma kwa wanasiasa na viongoz wa dini ambao kimsingi wana asilimia chache ya kubatilisha haya yanayoendelea sasa.Trust me;kila mja atabeba msalaba wake,na wachuma majanga hula na wakwao.
Rai yangu kwa waTanzania wenzangu ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.