Wakuu,
Mimi kama mmoja wa wadu wa uchaguzi mkuu niliposikia matokeo ya utafiti wa TWAWEZA tulishangaa sana na tuliona wasomi wamenunuliwa na wanacheza na akili zetu, tulijiuliza na wenzangu ebu kwa eneo tuliopo (Dodoma) tufanye tasmini ndogo na bila ushabiki wala uanachama wa chama chochote na...
Habari wakuu,
Nimesikia kuna njia mpya na ya kisasa ya kutairi watoto wa kiume kwa kutumia vifaa maalum na nimesikia kwamba mgonjwa anapona kwa muda mfupi zaidi kulinganisha na njia ya zamani na bila mgonjwa kuumia zaidi.
Kwa anayefahamu je ni kweli? ni salama? na kwa DSM inapatikana wapi? na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.